Thread closedHapana sio haki
Hapana sio haki
Atakuwa LUMONGE sahiziHebu subiri kwanza mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] uko Bunjumbura au bado upo Kakonko
Hebu subiri kwanza mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] uko Bunjumbura au bado upo Kakonko
Suala la kukamatwa kwa mbowe na la huyo manara ni Mkakati wa kututoa kwenye kodi ya uzalendo. Achaneni nao hao! Let's back to our mainstream topic.Swala la Manara ni mpango wa kuwatoa wananchi kwenye mjadala wa katiba na kukamatwa kwa MBOWE
Unajua kwamba kuwa na hiyo title tu ni mshahra tosha? Juzi kala ubalozi wa ASAS, kala mpunga..., angepats huo ubalozi bila hiyo title?Tuweke utani pembeni,
Msemaji wa timu kabambe ya lipuli pale mkoani Iringa anakula mshahara wa laki tisa kwa mwezi.
Ndugu yetu wa Damu kabisa Bughat eliclasco haji mwana wa manara anakula laki saba kama alivosema mwenyewe na hana mkataba yaani hana cha nssf wala bima ya afya wakati jamaa msemaji wa lipuli anapata haki zote hizo.
Hivi hii ni haki kweli?