Tuweke utani pembeni,
Msemaji wa timu kabambe ya lipuli pale mkoani Iringa anakula mshahara wa laki tisa kwa mwezi.
Ndugu yetu wa Damu kabisa Bughat eliclasco Haji mwana wa Manara anakula laki saba kama alivosema mwenyewe na hana mkataba yaani hana cha NSSF wala bima ya afya wakati jamaa msemaji wa Lipuli anapata haki zote hizo.
Hivi hii ni haki kweli?