GE2025 Msemaji wa Polisi: Ukiziona tena gari zenye 'plate number SSH 2530' toa taarifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Magari mengi ya kunjunga
Na wajanja wanayafahamu
Watu wameweka plate # ya mama πŸ˜„

Ova
 
zinapita barabarani sio vyumbani!
 
Baada ya kuona uchaguzi unakaribia na upepo haueleweki wananchi wameamka wanaanza kujidai wanashughulikia mambo fulani.
 
Hili suala la plate namba hapa nchimi limekuwa sugu.
Hapa nimepitwa na Hammer halina plate namba kabisa juzi magari yaliyokuwa yameegeshwa Kisutu πŸ’― kubwa haya kuwa na namba ingawa yote yalikiwa yanaendeshwa na polis wenyewe.
 
Baada ya kuona uchaguzi unakaribia na upepo haueleweki wananchi wameamka wanaanza kujidai wanashughulikia mambo fulani.
Inasemekana watu wanazilipia

Ova
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 

Vipi waliozitengeneza hizo plate number nao wamekatwa au ni hao wenye magari na boda boda zenye hizo plate number tu?

Tutahoji sana lakini wanafanya comedy. Lakini ipo siku watajibu kwa nini taifa letu liaibishwe kiasi hiki na wao wapo tu kudanganya, kuongopea.

Yana mwisho, ni suala la muda tu kufika.
 
Inasemekana watu wanazilipia

Ova
Shida sio kulipia au kutokulipa. Shida ni registration number hio hio kutumika na magari mengi hadi wauza ngada wa kino nao wanatumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…