Achana na hizo,ni hivi juzi kati nilikuwa bongo
Na vijiweni nilizopewa kuhusu uingizaji wa magari, kwenye kukwepa kodi, dili linakwenda hivi....
Hizi ni dili za wanaoletea watu magari kutoka Japan, zinaletwa gari mbili, rangi sawa na model sawa, tuseme Subaru Forester, rangi ya blue, na Engine size sawa,
Halafu zote zinasajiliwa kwa namba moja, ambapo moja inaandikwa kama ni ya Mbeya, nyingine ni ya Arusha,
Ushuru unalipiwa kwa gari moja, na kutumiwa kutolea magari yote mawili.
Yaani hapa sasa hivi tunapooengea kuna magari yako mikoa tofauti na yote yana namba plate moja mengi sana....
Kwa sasa nikiwa, Bingham street, Islington , London ,