Kauli yetu mbiu ni watoto wa bata hawadeki
Leo Msemaji wa serikali acharuka, Asema wavuvi ni wajibu wao kuokoa,
Apongeza uongozi wa kagera kwa jitihada kubwa walizozifanya kuokoa!
Asema siku ya tukio wataalamu na wazamiaji walikuwepo eneo la tukio kwa wakati
Asema wananchi wasibeze jitihada za serikali zimefanyika kubwa sana!
Asema helikopita zilizopo ni kwa ajili ya usafirishajii na utalii! Siyo za kunyanyulia vitu vizito!
Mwandishi alichosahau kumuuliza Msemaji ni JE ILE MITUMBWI YA WAVUVI ILIYOSAIDIA KWANI KAZI YAKE NI MAJANGA? KWANI KAZI YAKE KUNYANYUA AU KUVUTA VITU VIZITO?