So sad..Kauli yetu mbiu ni watoto wa bata hawadeki
Leo Msemaji wa serikali acharuka, Asema wavuvi ni wajibu wao kuokoa,
Apongeza uongozi wa kagera kwa jitihada kubwa walizozifanya kuokoa!
Asema siku ya tukio wataalamu na wazamiaji walikuwepo eneo la tukio kwa wakati
Asema wananchi wasibeze jitihada za serikali zimefanyika kubwa sana!
Asema helikopita zilizopo ni kwa ajili ya usafirishajii na utalii! Siyo za kunyanyulia vitu vizito!
Mwandishi alichosahau kumuuliza Msemaji ni JE ILE MITUMBWI YA WAVUVI ILIYOSAIDIA KWANI KAZI YAKE NI MAJANGA? KWANI KAZI YAKE KUNYANYUA AU KUVUTA VITU VIZITO?
View attachment 2410280
View attachment 2410303
Kauli yetu mbiu ni watoto wa bata hawadeki

Si bora angenyamaza tu. Huyu na yule abasi ndo walimdhalilisha Nape kwa kumrekodi akitembea magogoni jasho likimtoka akijpangusa. Lakini sasa hivi Nape bosi wao halafu wala ajalipiza kisasi. Mkwere, Nape, January na membe ni watu wenye utu wangeamua kulipiza kisas hamna aneyebaki. Tatizo lao moja tu kumpiga vita rais wetu kipenzi lowasaa.Kauli yetu mbiu ni watoto wa bata hawadeki
Leo Msemaji wa serikali acharuka, Asema wavuvi ni wajibu wao kuokoa,
Apongeza uongozi wa kagera kwa jitihada kubwa walizozifanya kuokoa!
Asema siku ya tukio wataalamu na wazamiaji walikuwepo eneo la tukio kwa wakati
Asema wananchi wasibeze jitihada za serikali zimefanyika kubwa sana!
Asema helikopita zilizopo ni kwa ajili ya usafirishajii na utalii! Siyo za kunyanyulia vitu vizito!
Mwandishi alichosahau kumuuliza Msemaji ni JE ILE MITUMBWI YA WAVUVI ILIYOSAIDIA KWANI KAZI YAKE NI MAJANGA? KWANI KAZI YAKE KUNYANYUA AU KUVUTA VITU VIZITO?
View attachment 2410280
View attachment 2410303
Sijakuelewa Mr msemajiKauli yetu mbiu ni watoto wa bata hawadeki
Leo Msemaji wa serikali acharuka, Asema wavuvi ni wajibu wao kuokoa,
Apongeza uongozi wa kagera kwa jitihada kubwa walizozifanya kuokoa!
Asema siku ya tukio wataalamu na wazamiaji walikuwepo eneo la tukio kwa wakati
Asema wananchi wasibeze jitihada za serikali zimefanyika kubwa sana!
Asema helikopita zilizopo ni kwa ajili ya usafirishajii na utalii! Siyo za kunyanyulia vitu vizito!
Mwandishi alichosahau kumuuliza Msemaji ni JE ILE MITUMBWI YA WAVUVI ILIYOSAIDIA KWANI KAZI YAKE NI MAJANGA? KWANI KAZI YAKE KUNYANYUA AU KUVUTA VITU VIZITO?
View attachment 2410280
View attachment 2410303
Kazi iendeleeSi bora angenyamaza tu. Huyu na yule abasi ndo walimdhalilisha Nape kwa kumrekodi akitembea magogoni jasho likimtoka akijpangusa. Lakini sasa hivi Nape bosi wao halafu wala ajalipiza kisasi. Mkwere, Nape, January na membe ni watu wenye utu wangeamua kulipiza kisas hamna aneyebaki. Tatizo lao moja tu kumpiga vita rais wetu kipenzi lowasaa.
Amri jeshi mkuuHicho cheo sijui nani alimpa huyo mjinga