Msemaji wa serikali acharuka kwa wanaobeza mbinu za uokoaji! Apongeza serikali

Ukweli utabaki palepale serikali imefeli kwenye uokozi laiti kama waokoaji wangefika mapema na vifaa thabiti hawa ndugu zetu 19 wasingefariki
Sasa wale waliokwenda na mitungi ya gesi watu walishakufa walikwenda kufanya nini?
Ingekua mkutano wa chadema ndani ya dakika sufuri serikali ungeiona pale.
Nilichogundua Ni kwamba, Kama Jambo halitishii wakubwa kutumia V8 na kuiba hela za wananchi, hicho sio kipaumbele.
Mikutano ya chadema inatishia matumizi ya v8 na upigaji.
Kuzima demokrasia na mikutano ya chadema Ni kipaumbele zaidi ya namba moja. Yaani Kiko juu ya namba moja.
 
Na ngo'mbe ndo kama ss
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…