Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

 
 
Hao ni wasomi wachumia tumbo, hv hata msukuma ni msomi? Nimemsikia akimponda lissu
 
Chama changu sikivu,

Sisi wengine tunapiga kelele na tunaonekana wapinzani au tuko CCM kwa sababu ya ukweli wenyewe.

Kuna mambo yanaweza jenga taswira ya mtu na mengine yanaua pia. Natoa tahadhari kwa chama changu kuangalia matamko ya wanachama na kuwa na moderation kama kweli yanakidhi kupewa kipaomble na chama au laaa!!!

Naona kama haya matamko binafsi yanatubomoa zaidi kwa vile mengine yanaingiza ukakasi katika uzalendo wa chama kwa taifa lao.

Yanayotokea, kama siku moja itasemekana kuna kundi limeingiza silaha za kivita hapa nchini kwa kusaidiwa na chama, hakika tutalioga. Kama siku moja ikitokea kuwa chama kinaratibu mauaji ya wananchi ili kutaka serikali ionekane vibaya, wengine wataamini.

Tunachafua taswira ya chama.

Nashauri chama kifike mahali kijitambue. Kisiendelee kuelea kwa namna hii. Tutapotea.

Ni angalizo langu tu.
 
Si muungwana, ila yeye na wanasiasa NA wanasheri a wenzao wame kwenda kuwasaidia ma adui wa tanzania ku fix Nchi. Je huu ni uungwana? Naona Ni uhujumu uchumi wa kiwango Cha kusikitisha. Ha stahili pong ezi. Ana stahili Kesi ya uhujumu uchumi wa watanzania wanyonge. Hii sio siasa tunayoitaka watz. Yeye na wenzake wachunguzwe na kuchukuliwa hatua stahiki. Hata US haikubaliki kufanya vitendo hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…