Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Nakuhakikishia, ukisogea huko mbele hasa kwa wenzetu. Kuzungumza vizuri kuna maana kubwa sana.
Mosi inakusaidia ujumbe wako kumfikia audience vile umekusudia.
Unapobwabwaja hovyohovyo bila mpangilio wa lugha, unaonekana akili yako haina akili. Bila kujali unajiamini kiasi gani.
Na kama unatoa fundisho fulani, inakua sio rahisi ukaaminika kwasababu wanahisi una uwezo mdogo. Hata kuzungumza haujui. Utakua Tapeli unayejifunzia kwao.
Pia Kuna watu hukerwa na watu kwasababu tu wanazungumza vibaya. Na sio content.
Mimi ukiwa unachanganya R na L nakutoa akilini mapema sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha nini kwa sentensi yako ya kwanza? Hapo tayari umeonyesha dalili za ubabaishaji wako katika kuwasilisha ujumbe hivyo sitashangaa kama hujaelewa ujumbe wangu.
Anyway, nakubali kutokubaliana na wewe kwa vile umetoka kwenye muktadha wa mada husika.