Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

kwa hiyo nyie mnaojiita wasomi, mnataka tuzidi kupigwa tu, kila kitu mnafanya cha ovyo mkisema mnakimbilia siasa, mnategemea mwananchi wa kawaida anaweza akasimama akayasema hayo zzaidi ya wabunge, mie hata sijui mnaongea nini, halafu mnajifanya mna uchungu na nchi
 
bado akashia wametushtaki aibu na ukurupukaji utatumalizza mikataba ya kipuuz msain wenyewe kupuuzwa apuuzwe Lissu sisi hatumpuuzi lissu kamwe tunawafahamu ccm sana wale wajinga kule vijijini ndo muwadanganye
 
Hiyo Bansen Burner njaa inauma sijui kama kuna kitu ambacho taifa litakuja kumkumbuka zaidi ya kubwabwaja, kama ni mzalendo angeihoji serikali kisa cha kutolipa deni pamoja na. madeni ya ndani badala ya kuitaka ijenge tabia ya kutolipa.
 
Weka chanzo cha habri yako. Hata wewe mleta uzi umeona aibu kukitaja chanzo cha habari kwa kuwa unajua ni upupu. Poleni, na Lissu atazidi kuwavua nguo,kalaghabahooo!!
 
Narudia kusema tena,
Msukuma akija mjini bila KUJIPANGA lazima awe TAPELI.
fuatilia hili.

Hi ni Kweli, Wamezoea kulala kwenye maboma ya ng'ombe na kunyonya kama ndama. Wakija mjini ni kupiga domo na kujifanya wanajua kila kitu.
 
Narudia kusema tena,
Msukuma akija mjini bila KUJIPANGA lazima awe TAPELI.
fuatilia hili.

Hi ni Kweli, Wamezoea kulala kwenye maboma ya ng'ombe na kunyonya kama ndama. Wakija mjini ni kupiga domo na kujifanya wanajua kila kitu.
 
Running away from Problems is a race you will never win and that Any decision you make in life you are responsible for it
 
wakisikia ukweli umesemwa wanaleta vikaragosi vyao vije kuchafua hewa,wenye akili wanajua kuwa lissu ni mzalendo #1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…