ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
Sijui amekumbwa na nini Ndugu kwani Kichwani ( Kiakili ) He's very Brainy, ila tokea aingie ( ateuliwe ) huko Serikalini amebadilika sana. Binafsi amenisikitisha zaidi.
Kama ishu ni maneno basi kina mwijaku, baba levo wawe wasemaji....Huyo Abbas, ni wivu wake tu! Hivi, hao wasemaji, wana athiri nini watu wengine? Hizo ni burudani tu. Watu wanapenda kusikia vimbwanga vya akina Masau, Manara, Kifaru nk. Hata vyombo mbali mbali vya habari, wanapenda kuwahoji wasemaji wa aina hiyo ili kuvutia watazamaji/wasikilizaji wao!
Hata msemaji wa CCM (Polepole) , kuna wakati aina ya maneno ayasemayo yanawakera wapinzani wake, lakini ndiyo siasa na burudani yenyewe. Asitupeleke kwenye hali ya MAJONZI wakati wote! Wamefungia magazeti kibao, sasa wanataka kugeuzia kisu huku!?
Okay go to him so that he can pay you for being this Flatterer.Hapana,hanitunzi na wala sina nasaba naye Ila ni one of the government officials ninao wakubali kwa kutekeleza wajibu wao kwa ufasaha.
Barcelona na Man United nao huwa Wanaroga kama Yanga na Simba?Anataka waache fitna wajifunze kwa wasemaji wa vilabu vilivyoendelea - barcelona, man u, nk.
Sikuwahi kudhani kuwa kumbe nawe una Akili ( Mwerevu ) hivi katika Mijadala hapa JF. Heko mno kwani umesema vyema na Kumaliza kila Kitu.Huyo Abbas, ni wivu wake tu! Hivi, hao wasemaji, wana athiri nini watu wengine? Hizo ni burudani tu. Watu wanapenda kusikia vimbwanga vya akina Masau, Manara, Kifaru nk. Hata vyombo mbali mbali vya habari, wanapenda kuwahoji wasemaji wa aina hiyo ili kuvutia watazamaji/wasikilizaji wao!
Hata msemaji wa CCM (Polepole) , kuna wakati aina ya maneno ayasemayo yanawakera wapinzani wake, lakini ndiyo siasa na burudani yenyewe. Asitupeleke kwenye hali ya MAJONZI wakati wote! Wamefungia magazeti kibao, sasa wanataka kugeuzia kisu huku!?
Wakimfungia tu Serikali ya CCM ijue kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 Kura zaidi ya Milioni 30+ za Wanasimba wote wamezikosa na zitahamia Upinzani na Wao Kuambulia tu Kura Million 15 za Wanayanga hivyo hatimaye CCM Kuangushwa na Upinzani kushika rasmi Dola Tanzania.Manara afungiwe haraka sana, ni mpumbavu sana, hana chochote anachoandika zaidi ya kuichafua yanga, narudia tena, manara ni mpuuzi afungiwe
Hata Mimi nimemshangaa sana tu Ndugu.Kwani yeye Dr.abbas ndio mkuu wa wasemaji hapa nchini?
Ndio maana hawa yanga na simba wanafundwa. Kama wanataka waendelee waendeshe mambo kisayansi.Barcelona na Man United nao huwa Wanaroga kama Yanga na Simba?
Absolutely Rubbish!!!!!!!!Ndio maana hawa yanga na simba wanafundwa. Kama wanataka waendelee waendeshe mambo kisayansi.
Hata Barca na Ma u wanao wapiga debe lukuki manazi hata waliowazidi hao wasemaji wa vilabu vyetu. Ila wapiga debe wa kule wapo kwenye 'fan clubs' zao ambazo hata twitani zipo.
Uongozi wa club ubaki kuendesha club kisayansi, si maneno lukuki, fitna na inshallah inshallah kila kukicha.
Uonavyo wewe rubbish, nionanyo mimi point.Absolutely Rubbish!!!!!!!!
Usiniletee Upumbavu wako tafadhali kwani sababu za Yeye Kumchukia nimeziweka hapo juu na tena Kuzifafanua vyema tu. Ukijijua kuwa hukubarikiwa Akili nyingi na Mwenyezi Mungu nakushauri usiwe Unathubutu hata Kufungua Threads zangu All - Rounder sawa?
Kalifulie Boksa za Basha wako ili zing'ae.Mbona povu sanaaa
Mbona All - Rounder povu kubwa sana? Mada simple tu hii mkurugenzi...Kalifulie Boksa za Basha wako ili zing'ae.
hana jeuri hiyo huyo mzungu wenu wa BuzaHuyu nae akae kimya tyuuh, manara atamlipua soon lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona All - Rounder povu kubwa sana? Mada simple tu hii mkurugenzi...