Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Hasa aliposema eti mbona sijakonda aise nilimuona punguani kweliYeye mwenyewe kwenye press conference anajiona anatema point.
Yani yuko shallow vibaya hana uwezo wa kujenga hoja yani bonge la kilaza.
Muone na msikilize hapo chini.
View attachment 3506737
Unamtofautishaje na mteuaji mkuu? Kifupi serikali nzima ni mediocre Busu la Kenge wanakimbizwa mchakamchaka na Mange hawapati utulivu mchana wala usiku! Yani baraza zima la mawaziri wa mama Abdul ukiunganisha akili zao hazifikii akili ya mange! Wanadesa tu maishaYeye mwenyewe kwenye press conference anajiona anatema point.
Yani yuko shallow vibaya hana uwezo wa kujenga hoja yani bonge la kilaza.
Muone na msikilize hapo chini.
View attachment 3506737