Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Cde Gerson,
Mimi ni miongoni mwa wadau wako KABISA toka MOYONI. Nilianza kukuona kwamba wewe ni kijana mahili kipindi ukiwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
Sasa ukiwa mratibu mkuu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali - nashauri ukitokea upotoshaji wowote kama huu wa TAL kwamba anataka kuwekewa sumu akiwa gerezani, kwa haraka ingefaa TCRA wasambaze jumbe fupi kwa simu zote za mkononi za kuwatakia wananchi wazipuuze;
Tukikaa masaa machache bila kufanya hivyo tangu uongo, uzushi usambazwe husababisha zisambae na pengine kuanza kuaminika wkt ni uongo.