Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Kwanini msitumiane wana sisiemu 13 milioni si mna data base na namba zenu?Cde Gerson,
Mimi ni miongoni mwa wadau wako KABISA toka MOYONI. Nilianza kukuona kwamba wewe ni kijana mahili kipindi ukiwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
Sasa ukiwa mratibu mkuu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali - nashauri ukitokea upotoshaji wowote kama huu wa TAL kwamba anataka kuwekewa sumu akiwa gerezani, kwa haraka ingefaa TCRA wasambaze jumbe fupi kwa simu zote za mkononi za kuwatakia wananchi wazipuuze;
Tukikaa masaa machache bila kufanya hivyo tangu uongo, uzushi usambazwe husababisha zisambae na pengine kuanza kuaminika wkt ni uongo.
And show if it is trueProve if it's wrong
Sasa msemaji wa serikali anakanusha yeye amakuwa FBI kwamba amefanya uchunguzi akakuta sio kweli. Mnamlaume bure Msigwa, anakanusha kujifurahisha tu lakini hajui lolote. Mtu kupewa sumu au kuuliwa Msigwa ahawezi kujua.Cde Gerson,
Mimi ni miongoni mwa wadau wako KABISA toka MOYONI. Nilianza kukuona kwamba wewe ni kijana mahili kipindi ukiwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
Sasa ukiwa mratibu mkuu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali - nashauri ukitokea upotoshaji wowote kama huu wa TAL kwamba anataka kuwekewa sumu akiwa gerezani, kwa haraka ingefaa TCRA wasambaze jumbe fupi kwa simu zote za mkononi za kuwatakia wananchi wazipuuze;
Tukikaa masaa machache bila kufanya hivyo tangu uongo, uzushi usambazwe husababisha zisambae na pengine kuanza kuaminika wkt ni uongo.
Sijawahi kuwa mweupe hivyo - muangalie kwenye profile pictureView attachment 3393466
Kabende msakila