Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Duh! Kweli ndugu yangu?Naunga mkono hoja ya Dr. Abbas, uandishi wa habari ni fani, ni kipaji na pia ni taaluma, ina miiko yake, haki zake, wajibu wake, misingi yake na zaidi sheria zake. Sheria, taratibu na kanuni za uandishi zifuatwe na maadili yazingatiwe na yalindwe.
P
Musiba huwa magazeti yake yamesimamia ukweli bila kumuogopa mtu awe ni kigogo au la!P! Magazeti ya Msiba Ni msiba kwa Vyama vya upinzani
Je wahariri wa magazeti ya Msiba msemaji wa Serekali haruhusiwi kuyaonya?
Pascal Mayalla hata haisadifu sifa yakoHata Wayahudi walishusha credibility ya Masiya na wakamsulubisha, itakuwa kapuku mimi kushushwa credibility na Bibi Kalamba?.
P
Mchango wa BBC, DW, Aljeezera e.t.c katika kuwavua nguo wagandamiza democrasia,madikteta, mafisadi makubwa makubwa ya 1.5 trillion e.t.c unatambulika dunia kote! Wewe mpiga zumari wa CCM ni nani hata uone vyombo hivi vya habari havifai?!Very sad,are you a Tanzanian?
kabisa vyombo vya habari vimejisahau sana badala ya kripoti taarifa vinaripoti udakuMsemaji wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ndio ametoa onyo hilo kwa kusema;
✕ Powered by Exploreads"Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda dhidi ya nchi yetu kutoka mashirika ya kimataifa au wawakilishi wa mataifa ya nje."
"Bahati mbaya katika habari hizo misingi ya taaluma ya habari husiginwa hasa kanuni ya kujiridhisha na ukweli wa tuhuma husika. Kwa sababu hiyo, Serikali imeelekeza vya kutosha, imeonya vya kutosha na imesamehe vya kutosha. Sasa tutachukua HATUA KALI za kisheria."
"Vyombo vya habari; vya ndani na nje ya nchi vilivyosajiliwa, kupewa ruhusa ya kutekeleza majukumu yao hapa nchini vinakumbushwa tena kwamba uandishi wa habari ni taaluma; ina haki zake, wajibu wake, misingi yake na zaidi sheria zake. Sheria zilindwe, zisibanangwe"
Tutakupa wilaya ya karatu!Naunga mkono hoja ya Dr. Abbas, uandishi wa habari ni fani, ni kipaji na pia ni taaluma, ina miiko yake, haki zake, wajibu wake, misingi yake na zaidi sheria zake. Sheria, taratibu na kanuni za uandishi zifuatwe na maadili yazingatiwe na yalindwe.
P
Tangu ulipoanza kupongeza na kushabikia mambo ya hovyo nami nikashusha credibility zako kabisa kabisa
Pu.mbavuHata Wayahudi walishusha credibility ya Masiya na wakamsulubisha, itakuwa kapuku mimi kushushwa credibility na Bibi Kalamba?.
Pum.ba.vu kweli inamaana na we we unajilinganisha na Masiya?
No mimi sina kabisa degree ya mass comm. Sikusomea mass comm, nilimaliza tuu form IV nikajiunga RTD, ndio mpaka leo. Kwani vipi kuanza kuulizana elimu humu?.
P
No mimi sina kabisa degree ya mass comm. Sikusomea mass comm, nilimaliza tuu form IV nikajiunga RTD, ndio mpaka leo. Kwani vipi kuanza kuulizana elimu humu?.
P
Wengine tunakiita UharoWaaanze na kijarida cha Uhuni sorry Uhuru