DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa viongozi wa dini nchini wanapaswa kuhubiri amani na upendo, badala ya kutoa matamko yanayoweza kuashiria uchochezi. Ameeleza kuwa mara kwa mara Serikali hufanya mazungumzo na viongozi wa dini pale inapobaini kuwa mambo hayaendi vizuri.
Msigwa ameyasema hayo wakati wa mahojiano yake na mtangazaji Chief Odemba.
Msigwa ameyasema hayo wakati wa mahojiano yake na mtangazaji Chief Odemba.