Its only uchochezi wanapokosolewa?Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa viongozi wa dini nchini wanapaswa kuhubiri amani na upendo, badala ya kutoa matamko yanayoweza kuashiria uchochezi. Ameeleza kuwa mara kwa mara Serikali hufanya mazungumzo na viongozi wa dini pale inapobaini kuwa mambo hayaendi vizuri.
Msigwa ameyasema hayo wakati wa mahojiano yake na mtangazaji Chief Odemba.
kazi kubwa ya serekali haramu popote duniani ni kujihami muda wote.hili neno uchochezi lilitumika sana na serikali za Kikolini.Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa viongozi wa dini nchini wanapaswa kuhubiri amani na upendo, badala ya kutoa matamko yanayoweza kuashiria uchochezi. Ameeleza kuwa mara kwa mara Serikali hufanya mazungumzo na viongozi wa dini pale inapobaini kuwa mambo hayaendi vizuri.
Msigwa ameyasema hayo wakati wa mahojiano yake na mtangazaji Chief Odemba.