Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074


Government Spokesman Eric Kiraithe has said Kenya has no problem with an obscene word used by US President Donald Trump to describe African countries and Haiti.

Mr Kiraithe on Thursday told journalists that the statement by President Trump were not directed to Kenya.

“The statement was not an official matter that, say, is related to the relationship with the government. We enjoy a cordial relationship.

“We are studying the context in which these statements were made and see whether it is worth the attention,” he said.

MORE:Kenya reacts to Trump ‘racist’ remarks
 
Kenya mko pamoja na mimi anae bisha juu ya hili kwaniaba y'all trump narudia yeye ni "SHITHOLE
 
Hehehehe.... Mitanzania bana, wafuata mikumbo na kujaribu kuonekana hata nyie mpo, watu kama nyie ndio mnasababisha bora tuitwe shithole kabisa.

Hadi sasa hamna audio recording au ushahidi wowote kwamba Trump alitukana Afrika rasmi, yote ni dezo dezo za backstage rumors. Ikulu ya Marekani imetoa tamko na haijakiri chochote, sasa Miafrika tukianza kujifanya eti tumekerwa sana, mbona tusifanye kweli na kuwafukuza Wamarekani kutoka nchi zetu na kufunga balozi zao.......pambavu tu hamna lolote.

Japo pia kiana nahisi tunafaa kuitwa zaidi ya shithole hususan tunaotafuna binadamu kisa ni albino eti watatuongezea utajiri na kushinda kwenye uchaguzi.
 
Trump alisema 'some African countries' so sioni why the big deal na kiraithe's statement..... Afu tena hapo chini amesema wazi they are studying Trump's statement to see if it requires some attention
 
Hujui International diplomacy zinafanywa vipi rafiki. Hapo inaonesha kabisa jinsi kenya mlivyo. Siyo wajibu wenu wa kuwajibia wamarekani. Iwe uongo au ukweli.
Hapa tunaongelea international politics ni bora angekaa kimya tu. Kwani angesema hana muda wa kuliongelea suala hilo ingekuwa na matatizo? Kenyans are puppets.
 
Trump alisema 'some African countries' so sioni why the big deal na kiraithe's statement..... Afu tena hapo chini amesema wazi they are studying Trump's statement to see if it requires some attention
Hakusema hivyo alisema Africa countries ni shitholes. Hebu jaribu kujitetea tena na mambo yako. Kenyans kichwani mpo zero.
 
Kenya ni Vibaraka wa wazungu, hii imepelekea kuwa watumwa wa fikra, poor Kenya
 
No surprise. It is difficult to change from a donkey to a horse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…