MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Wakenya ni wajanja sana, wao wapo kimaslahi zaidi. Kenya haiwezi kumpinga Trump sababu mwaka huu kuanzia mwezi October, Kenya imeruhusiwa na Marekani kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja kutoka New York hadi Nairobi kwa kutumia ndege za Kenya Airways. Kwa minajili hiyo hawewezi kukitia kitumbua chao mchanga kwa kuanza kujibizana na Trump. Ndiyo maana Kenya emeamua kujiweka pembeni na tena wameamua kumuunga mkono Trump kwenye issue yake ya kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israeli.
Kenya have seen the bright side of light.
Bora ingekua hivi unavyosema, maana kwa kweli sisi huwa tupo kimaslahi, hatuna muda wa kuitana ndugu sijui rafiki nk.
Lakini issue kubwa hapa ni kwamba hamna ushahidi Trump alisema, sasa hatuwezi kubweka tu, na pia unambwekea Marekani wewe kama nani, yule amesababisha majanga makubwa dunia hii na hadi sasa hakuna mwenye uwezo wa kumtia kidole.
Anayo uwezo wa kutumia ndege moja kuipiga Tanzania yote, yaani inazinguka kwenye angaa na kumwaga mabomu bila kuonekana na radar, itakua inageuza tu kwwenda kuongeza mafuta na mabomu. Ametesa dunia na bado anatanua kwa ubabe, sasa mlalahoi baada ya kunywa uji wa ulezi uanze kumpigia makelele Marekani.