Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'

Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'

Hehehehe.... Mitanzania bana, wafuata mikumbo na kujaribu kuonekana hata nyie mpo, watu kama nyie ndio mnasababisha bora tuitwe shithole kabisa.

Hadi sasa hamna audio recording au ushahidi wowote kwamba Trump alitukana Afrika rasmi, yote ni dezo dezo za backstage rumors. Ikulu ya Marekani imetoa tamko na haijakiri chochote, sasa Miafrika tukianza kujifanya eti tumekerwa sana, mbona tusifanye kweli na kuwafukuza Wamarekani kutoka nchi zetu na kufunga balozi zao.......pambavu tu hamna lolote.

Japo pia kiana nahisi tunafaa kuitwa zaidi ya shithole hususan tunaotafuna binadamu kisa ni albino eti watatuongezea utajiri na kushinda kwenye uchaguzi.
Hahahaha well said mkuu
 
Kwa haya matusi yako nakupa grade ya E, ungepata grade ya juu zaidi ila hujaweza kutumia 'imagination' yako vizuri. Afu umetumia emoji tano tu, very poor. Work harder. Kwa mfano, wewe joto la jiwe ni nungunungu ambaye ana jicho moja tu la kengeza afu ulizaliwa juu ya jiwe bila map[emoji768]mb[emoji768] na una fuzi za rangi ya zambarau kwenye makalio. 😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀 Umenielewa?
Kwa majibu yako haya, inaonyesha ni jinsi gani ulivyoumizwa na matamshi ya kukudhalilisha, hata kama sio kweli kwa yale niliyokuambia unayo, ndivyo hivyo hivyo kwa Africa ilivyochukizwa na Trump, sio lazima uwe Shithole ndiyo ukasirike.
 
Durtete alipomuita Obama mtoto wa malaya alifuta ziara yake nchini Ufilipino lakini ingekuwa kaitwa Kenyatta angekenua tu!!

Kujikomba kwingi mpaka mnaonekana maboya.
 
Waafrica tumeamua kujitoa ufahamu tu, vp kauli hii angeitoa al asad wa syria ,reaction ingekuwa hii?
 
Sasa nyie mkimcharukia Trump mnapata nini namnasikika wapi?kwendere zenuuuu naviwanda hewa.
 
Kwa majibu yako haya, inaonyesha ni jinsi gani ulivyoumizwa na matamshi ya kukudhalilisha, hata kama sio kweli kwa yale niliyokuambia unayo, ndivyo hivyo hivyo kwa Africa ilivyochukizwa na Trump, sio lazima uwe Shithole ndiyo ukasirike.
Mi nilikusihi uwe creative tu, hamna cha kumind wala nini. Sasa wewe utakasirika na mambo ya mitandaoni kwani huna life yeyote ingine ya kuishi? Easy is the keyword my friend, no stress. Nakusihi pia nawe uchukue mkondo huo jombaa kwa chochote kile ufanyacho maishani. Utaenjoy sana.
 
Binadamu yeyote yule lazima awe na hisia, lazima awe na uwezo wa kutofautisha baya na zuri, aweze kugurahishwa na mazuri na kuchukizwa na mabaya, aweze kupongeza yaliyo mema, na kukemea mbaya, hasa kwa yale yanayodhalilisha utu wake, iwe mitandaoni au popote pale.

Kama ambavyo umejibu matusi na kebehi zangu nilizokufanyia(kwa utani), hiyo inaonyesha jinsi ulivyotimilifu kama binadamu mwenye hisia, ningashangaa sana kama ungekaa kimya, umenijibu kwasababu upo huru juu yangu sikumiliki wa kukuathiri kwa lolote lile, unaweza kusema lolote lile juu yangu, ila kama ningekuwa ninakulisha, kukubisha na kukupa mahitaji ysko ya msingi maishani mwako, kamwe usingethubutu kunijibu, hata kama yangekukera kwa kiasi gani, huu ndiyo ukweli wa Kenya na Trump, mtajaribu kukwepesha ukweli, lakini Kenya inajulikana katika hilo.

Kama utakumbuka, nchi za EA, zilikubaliana na kuweka azimio la kupiga maruguku nguo za mitumba baada ya kujiridhisha kwamba viwanda vya nguo ndani ya EAC, vimeimarika ili kulinda viwanda vyetu vya nguo vya EA, Kenya ilitia sahihi na kuridhia azimio hilo, tena ndiyo nchi ya kwanza kiridhia mkataba huo kwa sababu ya kuwa na viwanda vingi vya nguo, Marekani ilipotishia kuzitoa katika mkataba wa AGOA, nchi zote zitakazozuia nguo za mitumba kuingia nchini kwake, bila hata kushauriana na nchi zingine za EA, Kenya iliamua kujitoa katika mkataba huo. Hivi wakati Kenya ilipoamua kukibaliana na kusaini mkataba ule, Uhuru Kenyatta alikua mlevi?. Kenya not yet Uhuru.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana hata vijana wao wanapenda kwenda kuolewa na wanaume wenzao usa waache wawasifie mabwana zao
 
Watanzania buana sijui mtakua lini mlitukana na Mkapa kwamba nyie ni malofa mkachekelea ila Trump kusema kidogo tu mnajifanya mnauchungu sana
Hakuwatukana watanzania Bali wale walijifanya eti wanataka kuikomboa nchi huru kwaiyo wao wawe na uchungu au na wew ni mmoja wao
 
So unategemea tutokwe na mipovu kwa kitu ambacho hakina ushahidi, hakuna hata mtu mmoja ameweka ushahidi wowote hadharani kwamba Trump kasema. Pangekua na ushahidi kama ule wa Mkapa kuwaita nyie malofa basi hapo tungetokwa na mipovu na kulaani na kulialia na kusema sema, lakini kwa sasa kila mtu amekurupuka na makelele bila ushahidi wowote.

Msemaji wa serikali alikua anajibu swali aliloulizwa kuhusu maoni yake ya hilo tusi, na akasema wazi kwamba wanalifanyia uchunguzi na hadi sasa hawajaona shida yoyote maana kiukweli hamna ushahidi zaidi ya dezo dezo, sasa ulitegemea afanye nini, alie au naye amtukane Trump.
Sasa si mngekaa kimya kuliko kujipendekeza au mliambiwa mtoe msimamo wenu
 
Msemaji wa serikali aliombwa atoe msimamo na wana habari.
Aliombwa na hakulizimishwa, kama alikua hajajipanga au bado serikali haijajipanga angesema kwamba tutalitolea tamko rasmi baadae, kumbuka kwamba, kukaa kimya ndiyo jibu zuri kwa swali hatarishi. You are the master of unspoken word, and soon you become a slave of unplanned spoken word.
 
Alihitaji kujipanga kwa lipi, ameulizwa swali atoe msimamo wake kuhusu kitu ambacho hakina ushahidi wowote, sasa aende akajipange kwa lipi. Hapo alijibu ipasavyo, kwamba serikali haina shida na hilo maana sio tamko rasmi la Marekani na hamna sehemu yoyote imethibitishwa na akaongeza wanafanya uchunguzi. Sasa nyie mnaojaza server za JF na insha kwa kitu ambacho hakina ushahidi ndio mnadhihirisha ushithole kabisa.
 
Msemaji wa serikali anatoa tamko basi ujue hii kitu imeigusa serikali, huku Tz jatuna muda wa kupoteza kuongelea hili suala haswa upande wa serikali.
 
Alihitaji kujipanga kwa lipi, ameulizwa swali atoe msimamo wake kuhusu kitu ambacho hakina ushahidi wowote, sasa aende akajipange kwa lipi. Hapo alijibu ipasavyo, kwamba serikali haina shida na hilo maana sio tamko rasmi la Marekani na hamna sehemu yoyote imethibitishwa na akaongeza wanafanya uchunguzi. Sasa nyie mnaojaza server za JF na insha kwa kitu ambacho hakina ushahidi ndio mnadhihirisha ushithole kabisa.
Dunia nzima imejiridhisha kwamba alisema, nyie pekee mnaokufa kwa njaa ndiyo hamjasikia hadi mtakopopewa mahindi ndiyo mtasikia vizuri. Vipi kuhusu kujitoa mkataba wa kuzuia nguo za mitumba ambao ninyi mlikua mstari wa mbele ili kulinda viwanda na Uhuru kunyatta akausaini, lakini baada ya Marekani kutishia vikwanzo mkabadilika bila hata kushauriana na nchi zingine za EA?, au pia mnahitaji ushahidi?, Kenya ni nchi ya hovyo kuliko hizo shithole countries alizokusudia kuzitukana Trump. Vinchi kama Rwanda vinakua na msimamo wake lakini ninyi mnawaogopa wazungu kuliko Mungu.
 
Wakenya ni wajanja sana, wao wapo kimaslahi zaidi. Kenya haiwezi kumpinga Trump sababu mwaka huu kuanzia mwezi October, Kenya imeruhusiwa na Marekani kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja kutoka New York hadi Nairobi kwa kutumia ndege za Kenya Airways. Kwa minajili hiyo hawewezi kukitia kitumbua chao mchanga kwa kuanza kujibizana na Trump. Ndiyo maana Kenya emeamua kujiweka pembeni na tena wameamua kumuunga mkono Trump kwenye issue yake ya kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israeli.

Kenya have seen the bright side of light.
 
Back
Top Bottom