Ruge Opinion
JF-Expert Member
- Mar 22, 2006
- 1,838
- 705
Just woke up. May be the previous night he had attended a party at the American Embassy.Hakusema hivyo alisema Africa countries ni shitholes. Hebu jaribu kujitetea tena na mambo yako. Kenyans kichwani mpo zero.
Wewe unapenda tu kuropokwa ovyo, tumekuzoea.Wewe unahakika hajatamka?
Waafrika wengi tuna 'low self esteem'. Hivi mtu akikuita mbwa mwitu, kisha ukaanza kuwashwawashwa ni kama una viroboto, si utakuwa ndo umempa ujasiri kabisa wa kukuita mbwa mwitu kichaa, mbwa mwitu mshenzi n.k?Trump alisema 'some African countries' so sioni why the big deal na kiraithe's statement..... Afu tena hapo chini amesema wazi they are studying Trump's statement to see if it requires some attention
Hunauwezo wa kujadili na mtu mwenye akili nyingi kama mimi.Wewe unapenda tu kuropokwa ovyo, tumekuzoea.
Hehehehe.... Mitanzania bana, wafuata mikumbo na kujaribu kuonekana hata nyie mpo, watu kama nyie ndio mnasababisha bora tuitwe sithole kabisa.
Hadi sasa hamna audio recording au ushahidi wowote kwamba Trump alitukana Afrika rasmi, yote ni dezo dezo za backstage rumors. Ikulu ya Marekani imetoa tamko na haijakiri chochote, sasa Miafrika tukianza kujifanya eti tumekerwa sana, mbona tusifanye kweli na kuwafukuza Wamarekani kutoka nchi zetu na kufunga balozi zao.......pambavu tu hamna lolote.
Japo pia kiana nahisi tunafaa kuitwa zaidi ya shithole hususan tunaotafuna binadamu kisa ni albino eti watatuongezea utajiri na kushinda kwenye uchaguzi.
aaahhh shithole!!mambo vp shithole!!Hehehehe.... Mitanzania bana, wafuata mikumbo na kujaribu kuonekana hata nyie mpo, watu kama nyie ndio mnasababisha bora tuitwe shithole kabisa.
Hadi sasa hamna audio recording au ushahidi wowote kwamba Trump alitukana Afrika rasmi, yote ni dezo dezo za backstage rumors. Ikulu ya Marekani imetoa tamko na haijakiri chochote, sasa Miafrika tukianza kujifanya eti tumekerwa sana, mbona tusifanye kweli na kuwafukuza Wamarekani kutoka nchi zetu na kufunga balozi zao.......pambavu tu hamna lolote.
Japo pia kiana nahisi tunafaa kuitwa zaidi ya shithole hususan tunaotafuna binadamu kisa ni albino eti watatuongezea utajiri na kushinda kwenye uchaguzi.
Miinchi ya kiafrika na viongozi wao ni misenge ya kupindukia.View attachment 679521
Government Spokesman Eric Kiraithe has said Kenya has no problem with an obscene word used by US President Donald Trump to describe African countries and Haiti.
Mr Kiraithe on Thursday told journalists that the statement by President Trump were not directed to Kenya.
“The statement was not an official matter that, say, is related to the relationship with the government. We enjoy a cordial relationship.
“We are studying the context in which these statements were made and see whether it is worth the attention,” he said.
MORE:Kenya reacts to Trump ‘racist’ remarks
My take:
Hapana chezea mental slavery. Yaani unatukanwa we unachekea tu.
hiyo ndo athari ya kumsujudia muzungu!!anaweza kukuti.a dole afu we unachekelea tu!!
N.B. hata kama Afrika tuna mapungufu kiasi gani hatuwezi kuchekelea matusi wanayotutukana!!
shitholes wao wenyewe(nisije nikasahau)
Mimi nadhani tutaendelea kuitwa SHITHOLES (miku*ndu) hadi Yesu atakaporudi. Mirais inayongangania madarakani na kuongeza vipindi na miaka ya kukaa nadarakani (kutoka 5 hadi 7, ikiwemo Tanzania) ndio inasababishwa tuendelee kuitwa SHITHOLES kila kukicha.Hehehehe.... Mitanzania bana, wafuata mikumbo na kujaribu kuonekana hata nyie mpo, watu kama nyie ndio mnasababisha bora tuitwe shithole kabisa.
Hadi sasa hamna audio recording au ushahidi wowote kwamba Trump alitukana Afrika rasmi, yote ni dezo dezo za backstage rumors. Ikulu ya Marekani imetoa tamko na haijakiri chochote, sasa Miafrika tukianza kujifanya eti tumekerwa sana, mbona tusifanye kweli na kuwafukuza Wamarekani kutoka nchi zetu na kufunga balozi zao.......pambavu tu hamna lolote.
Japo pia kiana nahisi tunafaa kuitwa zaidi ya shithole hususan tunaotafuna binadamu kisa ni albino eti watatuongezea utajiri na kushinda kwenye uchaguzi.
Yes. Hili ndilo suala la msingi, Trump kasema ama hajasema hiyo haituhusu we don't need a proof kuwa kasema au la.wewe SASA unaongea na kuleta hoja nyingine. swala siyo kama alisema au hakusema. bali ni yale matamshi au kauli ni sawa kuambiwa waAfrika? vyovyote vile yale matamshi yaliwakasirisha hata watu wasio waAfrika.
sasa nashangaa kuona a poverty stricken country like Kenya kusema haioni tatizo. bora mngekaa kimya ingekuwa na thamani kubwa kuliko serikali ya KENYA ilivyofanya. najua waKenya wengi hawajafurahia kauli hii.
mkumbuke hii kauli haitawaacha waKenya salama. thamani (dignity) YENU imeshuka sana mbele ya jumuiya ya kimataifa.
no wonder Kenya is termed as a (good) case study of the impact of colonialism.
Sasa wewe ndio bure kabisa kuliko huyo waziri.View attachment 679521
Government Spokesman Eric Kiraithe has said Kenya has no problem with an obscene word used by US President Donald Trump to describe African countries and Haiti.
Mr Kiraithe on Thursday told journalists that the statement by President Trump were not directed to Kenya.
“The statement was not an official matter that, say, is related to the relationship with the government. We enjoy a cordial relationship.
“We are studying the context in which these statements were made and see whether it is worth the attention,” he said.
MORE:Kenya reacts to Trump ‘racist’ remarks
My take:
Hapana chezea mental slavery. Yaani unatukanwa we unachekea tu.
Amekubaliana na ststement tayari kwa kuwa Trump, kwa kiasi kikubwa kasema UKWELI. Miinchi mingi ya kiafrika ni miku*du (SHITHOLES) tu.Trump alisema 'some African countries' so sioni why the big deal na kiraithe's statement..... Afu tena hapo chini amesema wazi they are studying Trump's statement to see if it requires some attention
Kenya ni Vibaraka wa wazungu, hii imepelekea kuwa watumwa wa fikra, poor Kenya