mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hongera Kwa kupima pima Pima! Ili zitumike test kits nyingi sana na ili manyang'au wenye meno wale ten percent nyingi sana maana kila test kit moja inayonunuliwa (Kwa kutumia pesa za mkopo zitakazolipwa na ribs juu na manyang'au wadogo wasiokuwa na meno kama MK254) manyang'au wenye meno wanapata ten percent!Hongera sana kwa ujasiri wa serikali yetu kuendelea kuweka wazi, hii imetupea ujasiri kama wananchi na kuunga juhudi za serikali na kuwa kimoja, tusijichokee jameni, tuendelee kupima kupima kupima, nchi hii hatupo dhaifu.
Mind with your ownReport za familia yenu,wacha kiherehere cha kutaka kusikia mabaya kutoka kwa familia za wengine[emoji16][emoji16].
au vipi??
Jambo ilifanya Tanzania ilijulikana na ulimwengu mzima kwa ujinga ni hili Sasa🤣🤣🤣🤣.In Tanzania we have nothing to record because there is no COVID 19 patients!!
Tanzania is the corona virus free country! This is proved by having no deaths! They once said that Tanzania can hide data but they cannot be able to hide deaths and its accompanying grief!! From that time they have been waiting to see mass deaths in the streets and in the community! To their disappointments there is none!
Acha uongo wewe hospitali gani TZ imefukuza mtz anayetaka kupima? Mbona kuna watz wengi tu wanapima wakitaka kusafiri nje ha nchi! Nyinyi endeleeni tu na Corona yenu itawanyoosha sana nyinyi kunyaland.Hapimwi kila mtu, kunao mpaka leo wanaona corona kwenye TV wala hawana habari nayo, hususan vijijini kule hawana habari kabisaa, sasa hamna haja kuwafuata unakwenda kuwapima.
Tunapima targeted individuals
- Waliohusiana au kukaribiana na waathirika
- Wahudumu wa mahoteli, wauguzi na madaktari n.k.
- Na yeyote mwingine mwenye ujasiri wa kutaka kuifahamu hali yake.
- Kuna baadhi ya hospitali ambazo zinapima corona kwanza kabla kukutibu chochote kilichokupeleka huko, sio kama nyie mnaosemekana kuwafukuza wanaonyesha dalili za corona hospitalini, eti hamtaki aibu ya kutajwa na mgnjwa wa corona, hivyo kila anayeumwa inabidi ajifiche ndani.
Nyinyi endeleeni kufa na corona tu huko!Jambo ilifanya Tanzania ilijulikana na ulimwengu mzima kwa ujinga ni hili Sasa🤣🤣🤣🤣.
Kama huko hakuna ugonjwa, ni kwanini ndege zenu haziwezi ingia Kenya?
Pengine wenye wanaishi TZ Ni robots sio binadamu wa Kawaida kama wengi.
Before you open your mouth think twice. Even 2018/19 people were dying each and every day.Nyinyi endeleeni kufa na corona tu huko!
You ass don't quote me with your poor swahili language!Before you open your mouth think twice. Even 2018/19 people were dying each and every day.
Pia huko kwa Magufuli watu wanakufa kila siku na ata huku ni the same,, ile kitu iko,, sio kila mtu mwenye amekufa tunasema ati ameuliwa na corona..apana!!..
Out of topic.You ass don't quote me with your poor swahili language!
Slavery mentality thus why you are called nyang'ao!!Out of topic.
I don't care about this Swahili of yours.. n BTW hakuna pahali hii lugha yako itakupeleka ata ukiangalia president wenu utajua kiswahili ni lugha ya washamba tu.
Ukielewa venye nimesema sina lingine na Swahili yenu.
Better that nyang'ao than someone who thinks that he/she wise and he follows rules of a foolSlavery mentality thus why you are called nyang'ao!!
Halafu bado wanataka kuleta ndege zao Bongo kweli kama nchi nzimavmpaka viongozi wakuu wameathitika na Corona.Msemaji wa serikali ya Kenya, Cyrus Oguna amethibitisha kuwa na Virusi vya Corona baada ya kufanya vipimo na kupatikana na virusi hivyo.
Oguna aliwasihi wananchi wazidi kufuata maagizo wanayopewa na wizara ya afya na wachukulie virusi vya Corona kwa makini mno.
Mapema wiki hii, Rais Uhuru Kenyatta aliwaamuru mawaziri wote wasitoke nje ya jiji la Nairobi baada ya mawaziri watatu kupatikana na virusi hivyo.
Oguna amekuwa katika mstari wa mbele kupambana na virusi hivyo, huku mara kwa mara akiandamana na waziri wa afya Mutahi Kagwe katika kaunti tofauti.
Ni takribani zaidi ya siku mia moja tangu Kenya kusajili au kurekodi kisa cha kwanza. Kutoka kwetu wanajambo tunamtakia afueni ya haraka.
Kufikia sasa Kenya imerekodi visa 16,268 vya maambukizi ya virusi vya Corona na vifo 274, huku wagonjwa 7,446 wakithibitishwa kupona ugonjwa huo hatari.
Chanzo: RFI