Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Habari wakuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima umsikilize?
Habari wakuu.
Nimpenzi na mdau wa mpira hasahasa wa Tz, nimekuwa nikipata tabu sanaaaa juu ya utendaji kazi wa msemaji wa simba bwana Haji Manara, ana kiburi sanaaa, jeuri na dharau kubwa sanaaa kwa waandishi wa habri na wanachama pia.
Ukitaka kuprove haya muone live au msikie hakiojiwa, naandika hili baada ya kumsikia leo kila swali akiulizwa (magic fm) yeye ujibu nitawaambia, imeniuma sanaaa.
Tunakuelekea sasa.
1. Wapenzi wengi wa mpira (simba) watapungua sanaa, kwan utendaji wake sio wanasimba wote wanaupenda.
2. Mpira wa bongo kukosa radha kabisa hasa simba, na kusababisha mapato ya simba kushuka.
3. Simba kukosa wadhamini, watu wenye busara kuisaidia kwani yeye ni kaimu katibu wa simba.
4. Clouds fm (sport extra/bar) hawamuoji kabisa mtu huyu sijui kwanini, mambo ya simba huuliza wengine.
Mwisho ni busara kutumika kumshauri huyu manara kuwa na staa katika mpira, nakutambua uongozi ni kipaji. Zaidi pita kwenye vigenge vya simba wanaumia sanaaaa.
Simba Tazameni, upande wa pili msemaji wao anambwebwe sana, lakini hana dhiaka kwa waandishi wa habari.
huyu jamaa huwa anampiga mke wake mpaka majirani wanaona huruma, alishawahi kwenda jela kwa issue ya kutapeli magari.
Kipindi kile anafanya uchambuzi feki tbc anamuingilia na kumnyima mwalimu kashasha nafasi ya kuongea ilikuwa kituko
ila kituko zaidi ni klabu yangu ya simba kumpa cheo..
hapana! hayo mambo ya magari aliyafanyia kule kwenye politiksKwani kuna biashara ya magari mikiani?
vipi ya kukodisha magari ya watu na kuyauza? damn it,acha kutuharibia simba yetu,spokesman mbovu kabisa bora hata simba imuajiri masau bwireKumpiga mke wake inahusiana vipi na kazi yake? Sheria ichukue mkondo wake.
Hizo ni chuki binafsi kusema kuwa alifanya UCHAMBUZI FEKI pale TBC, sidhani kama wanamichezo wengine watakubaliana na wewe kuwa alifanya uchambuzi feki.
Kwani lazima umsikilize?
Iwapo utaiangalia kwa umakini hii picha,utatambua kwanini yule jamaa amekosa busara
huyu jamaa huwa anampiga mke wake mpaka majirani wanaona huruma, alishawahi kwenda jela kwa issue ya kutapeli magari.
Kipindi kile anafanya uchambuzi feki tbc anamuingilia na kumnyima mwalimu kashasha nafasi ya kuongea ilikuwa kituko
ila kituko zaidi ni klabu yangu ya simba kumpa cheo..