Msemaji wa Simba S.C Haji Manara, simuelewi kabisa!

mwenye jembe
mwenye panga
mwenye shoka
mwenye koleo
tukutane bunju tukaandae uwanja wa nyasi bandia
 
Iwapo utaiangalia kwa umakini hii picha,utatambua kwanini yule jamaa amekosa busara
 

Attachments

  • 1434057861691.jpg
    10.8 KB · Views: 460
huyu jamaa huwa anampiga mke wake mpaka majirani wanaona huruma, alishawahi kwenda jela kwa issue ya kutapeli magari.

Kipindi kile anafanya uchambuzi feki tbc anamuingilia na kumnyima mwalimu kashasha nafasi ya kuongea ilikuwa kituko
ila kituko zaidi ni klabu yangu ya simba kumpa cheo..
 
ana background ya waandishi kwa kuwa ni mwandishi ana wa handle with care
 
Kwani kuna biashara ya magari mikiani?
 
Huyu Bwana alikuwa Katibu Mwenezi CCM akafanya utapeli hivi vilabu navishangaa sana kwa kuchukua watu wenye record mbaya na kuwapa nafasi za uongozi.
 
Hii timu ya mchangani imeshapoteza dira siku nyingi
 

Kwani lazima ahojiwe na Clouda FM? Kwani hata Zakaria HP hao Clouds wamewahi kumuhoji mara ngapi? Si wamemuhoji juzi tu hapa kama mwezi mmoja uliopita tena baada ya kumjia juu Shaffih Dauda kuwa anaandika au kutangaza vitu kwa kusikiliaza upande mmoja bila ku-balance story. Ntajie kiongozi au viongozi wa SSC ambao huojiwa na Clouds FM.


Hakuna Mwana-Simba SC ataacha kwenda uwanjani kwa sababu ya Hajji Manara, labda iwe kwa sababu ya mambo mengine

Labda kama wewe sio mwana-Simba, ila sie anatufaa huyu huyu Hajji Manara.
 

Kumpiga mke wake inahusiana vipi na kazi yake? Sheria ichukue mkondo wake.

Hizo ni chuki binafsi kusema kuwa alifanya UCHAMBUZI FEKI pale TBC, sidhani kama wanamichezo wengine watakubaliana na wewe kuwa alifanya uchambuzi feki.
 
Kumpiga mke wake inahusiana vipi na kazi yake? Sheria ichukue mkondo wake.

Hizo ni chuki binafsi kusema kuwa alifanya UCHAMBUZI FEKI pale TBC, sidhani kama wanamichezo wengine watakubaliana na wewe kuwa alifanya uchambuzi feki.
vipi ya kukodisha magari ya watu na kuyauza? damn it,acha kutuharibia simba yetu,spokesman mbovu kabisa bora hata simba imuajiri masau bwire
 

Basi busara itumike sasa juu ya utendaji wake, simba sasa ndio acting katibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…