Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally hiyo Barua ya Kumfuta Kazi Kocha Mkuu Pablo unairusha lini? au Hasira zetu tuzianzie Kwako mjue mmetukera?

Vipi ile mechi GSM walitembeza bahasha kwa nani pale simba?
 
Hv nyie Makolo mlikaa kabisa mkiwaza muifunge Yanga hii, kwa kikosi/Timu gani mliyokuwanayo Hali ya kuwa Geita Gold tu mmewashindwa. Kwanza mna Miaka mingapi hamjamfunga Yanga..?
Kweli nyie ni Makolo, mlistahili zaidi ya kile kipigo
 
Wewe jamaa punguza malalamiko na lawama zisizo na msingi.juzi ulileta uzi kuhusu kakolanya kufanyiwa hujuma asidake matokeo yake yeye ndiye aliyedaka na akafungwa,lakini pia kwa mechi ya juzi hakuna wa kumtupia lawama maana hali ya kikosi inajulikana.Sasa kama uliwaza simba iifunge yanga utakua na matatizo kwasababu kwa kikosi cha yanga kilivyokua timilifu ilikua lazima simba afungwe,ambacho angeweza simba ni kupunguza idadi ya magoli tuwapongeze ata kwa hilo.Sio kila mara kutoa lawama tu utafikiri timu inakiwango cha kutisha kumbe kawaida tu.
 
Kocha hamna kitu humo, mkabidhini matola amalizie mechi zilizobakia - huyo mspaniola aende zake - hatumtaki.

Uchebe pira tuliliona
Gomes pira tuliliona

Sasa huyu jamaa hamna kitu, timu imemshinda - wachezaji hawajitumi - aende.
Gomes alianza vibaya na Simba. Tena vibaya sana tu.

Kuna msimu ambao mkude akiwa ndani, Shiboub anapasha. Kanda akianza Kahata atamaliza.

Msimu huu, Sakho na Kibu wakianza, nje kuna Mhilu na Mwanuke.

Simba na board yake ya usajiri walianza kumfelisha Gomes mapema kabla ya kuja kumalizia kwa Pablo.
 
Tuliposema mwaka huu mtaongea maneno ya rangi zote kwa sababu mwekezaji wenu ni wa mchongo hamkuelewa mkaziba masikio.Aya sasa maumivu halisi ndo hayo kunyweni
 
Unaweza ukakuta unakazwa wewe na kibamia chako hicho!
Hiki hiki Kibamia changu ndiyo huwa kinamkuna vilivyo aliyekuleta duniani hadi Ananihonga Pesa na tena huwa anakikatikia kwa Nguvu zote.
 
Kwanza mjiulize ni nani aliyesema kibu usajiki wake ulighatimu 240m na kumbe 40m tu?
 
Hv nyie Makolo mlikaa kabisa mkiwaza muifunge Yanga hii, kwa kikosi/Timu gani mliyokuwanayo Hali ya kuwa Geita Gold tu mmewashindwa. Kwanza mna Miaka mingapi hamjamfunga Yanga..?
Kweli nyie ni Makolo, mlistahili zaidi ya kile kipigo
Kutembeza mkwanja ila ikashindikana kwa wachezaji wa Utopolo
 
Ktk orodha umesahau jina la Dr Khanjibai, huyu naye katuharibia sana team yetu, ongeza jina hilo tafadhali.
 
foward za kimataifa zinatakiwa ziwe mbili mkuu ambao wote ni aggressive
 
Muondoe kibu hapo ktk hiyo orodha, yule dogo bonge la mchezaji ndugu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…