Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally hiyo Barua ya Kumfuta Kazi Kocha Mkuu Pablo unairusha lini? au Hasira zetu tuzianzie Kwako mjue mmetukera?

Genta Huyu jamaa anajua vitu vingi sana asee....Hatimaye Leo yametimia
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer na hakuna wala hatotokea mwingine hapa JamiiForums na ndiyo maana Nachukiwa na Wapumbavu wengi ila napandwa na naheshimika na Werevu wachache kama Wewe na Wenzako baadhi.

Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Shani ( Tunu ) yake ya Kutukuka Kwangu Mimi na sina cha Kumlipa zaidi tu ya kusema Asante Kwake na Ninampenda.

Cc: Kitimoto
 
Wana mchukulia mleta mada Kama n "ntu ya kuja" genta anajua mambo mengi TU sema uandish wake wengi ndio huwa hawapendezi nao

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Werevu Wachache kama Wewe ndiyo huwa mnanielewa GENTAMYCINE hapa JamiiForums ila Mipumbavu mingi kama huyo Kitimoto kamwe haitonielewa na itaendelea tu Kunichukia na Kunihubiria mabaya wakidhani Wananishusha Umaarufu wangu wakati kumbe ndiyo Kwanza wananipaisha mpaka nakuwa talk of the Town na talk of the Forum pia.
 
Wana mchukulia mleta mada Kama n "ntu ya kuja" genta anajua mambo mengi TU sema uandish wake wengi ndio huwa hawapendezi nao

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile appumeona

Uko vizuri Mzee baba.Huwa nakuelewa sana na Nyuzi zako
 
Yeye BVR bado siku ngapi?
 
Uko vizuri Mzee baba.Huwa nakuelewa sana na Nyuzi zako
Amina na Ubarikiwe Mkuu, ila kwakuwa Umenisifia hivi tegemea kuambiwa kuwa hii ID no yangu Mimi GENTAMYCINE na hapa nimejifagilia tu.
 
Amina na Ubarikiwe Mkuu, ila kwakuwa Umenisifia hivi tegemea kuambiwa kuwa hii ID no yangu Mimi GENTAMYCINE na hapa nimejifagilia tu.
Hahahah washindwe na walegee.Mimi nakufahamu/nimekufahamu Toka naanza tumia JF.Waache roho mbaya jamaa zetu.Wakubali Una PHD ya uandishi wenye kuvutia na kukonga nyoyo za wasomaji wengi humu ndani kama ndugu yetu
Mshana Jr
 
Amina, Asante, Ubarikiwe na Ashukuriwe zaidi Mwenyezi Mungu aliyenipa Kibali na Tunu ( Shani ) hii Tukuka Mkuu.
 
Yule sacko mnaemuamin atakuja kuwa hawa hawa akina mugalu au lwanga kutegemea atakua zaid ya pale ni kujpa moyo na kupoteza muda tu ,mtu ambae anaweza kubadilika akipata wachezaji wazur kidogo banda sacko mbinafs ana hasara nyng kuliko faida kama kutakua na ulazima aachwe tu atafutwe mwingne hawa wachezaji mechi moja wazur tano amna ktu mwsho Ndio unamalza msimu na kombe la mapinduz
 
Timu za Tanzania bwana makocha nao akili hawana anakubali mikataba na wachezaji analetewa hajui hata walikotoka
 
Eti TAFUTA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

nani atafute?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Cheki na Haji atakurushia chap Kwa haraka Ahmed Ally amelala
 
🦁 Hoiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…