GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer na hakuna wala hatotokea mwingine hapa JamiiForums na ndiyo maana Nachukiwa na Wapumbavu wengi ila napandwa na naheshimika na Werevu wachache kama Wewe na Wenzako baadhi.Genta Huyu jamaa anajua vitu vingi sana asee....Hatimaye Leo yametimia
Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Shani ( Tunu ) yake ya Kutukuka Kwangu Mimi na sina cha Kumlipa zaidi tu ya kusema Asante Kwake na Ninampenda.
Cc: Kitimoto