Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna Kitu ambacho GENTAMYCINE ninawapongeza Yanga SC kwani Wamekiweza na Kinawasaidia mno ni Kupenyeza Watu wao HATARI ndani ya Simba SC (tena Jikoni kabisa) halafu Waliopenyezwa nao kuwa Wasanii (Waigizaji) kwa kujifanya ni wana Simba SC na Wanaifia sana Timu kumbe nyuma ya Pazia wanatoa Ramani zote za Vita kwa Adui na Timu ikifungwa mbele ya Media wanajifanya Kuumia na Kusikitika ila wakiwa tu Mafichoni Kwao pale Gwambina (zamani TCC Club Chang'ombe) wanaanza Kucheka, Kukata Viuno na Misebene ya Kikongo huku Gari aina ya ALPHARD Nyeusi ya Ofisini kwa Tajiri Posta Juu Ghorofani ikileta Fedha kwa Kazi nzuri ya USALITI na KUTUUMIZA wana Simba SC huku Kinafiki/Kiunafiki ukijifanya uko pamoja nasi.

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku (ignore) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA/HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya.

Nimemaliza.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Kwaiyo Ahmedy Ally ndiye msaliti au kuna watu wengine waliyojipenyeza Simba? be more specific.

Sema Siku ile baada ya kipigo aliyoyapost insta ni kama hakuumizwa, utani ulikuwa mwingi sana!!
 
Kumbe na huyu naye ni miongoni mwa wasaliti? Wimbledon kichwa tu.
Ndugu yake ambaye si tu wamekuwa nae bali pia amesoma nae hadi alipokuwa Azam Media anamjua Nduguye ni Yanga SC lia lia na aliposikia kapewa Ulaji Simba SC alisikitika na Kuushangaa mno Uongozi wa Simba SC.

Yanga SC wamepandikiza Virusi wengi sana ndani ya Simba SC ( katika Uongozi ) na hadi Benchi la Ufundi bila kusahau upande wa Waganga wetu tunaowatumia.

Yanga SC Watatutesa na Kutuadhibu.
 
November 5 imeibua misamiati mingi sana, mara Robertino alikuwa mwl wa kwaya church 😂😂

Mara inonga kauza team 😂

Mara Robetinho kafanyiwa zengwe ili wajanja wapige hela😂

Mara semaji la Simba ni pandikizi la Uto ndani ya Simba 😂.

Next...........?
 
Selemani weee
FB_IMG_16992583151771630.jpg
 
Kosa la Ahmed Ally lilikuwa ni kumtaja Kibu Denis ndio mgeni rasmi. Na Yanga wakatengua fumbo kuwa Kibu ndiye atakayevalishwa kizizi cha ushindi wa Simba.

Hivyo wachezaji wa Yanga walielekezwa wamuumize ili asiendelee na mechi.
kilichotokea baadaya Kibu kutolewa uwanjani baada ya kuumizwa. Ni magoli mepesi kumiminika hadi yakafika 5G

Poleni. Yanga ilishinda kwa nguvu za tunguli, huyo kocha mnamtimua akiwa wala hana hatia.
 
Ndugu yake ambaye si tu wamekuwa nae bali pia amesoma nae hadi alipokuwa Azam Media anamjua Nduguye ni Yanga SC lia lia na aliposikia kapewa Ulaji Simba SC alisikitika na Kuushangaa mno Uongozi wa Simba SC.

Yanga SC wamepandikiza Virusi wengi sana ndani ya Simba SC ( katika Uongozi ) na hadi Benchi la Ufundi bila kusahau upande wa Waganga wetu tunaowatumia.

Yanga SC Watatutesa na Kutuadhibu.
Acha uongo ahmed ali nimesoma nae kirinjiko huyo ni simba lia lia

Leo ndio nimethibitisha we jamaa ni muongo sana

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom