Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

Acha uchochezi..unahaha.
Jipangeni mshinde next time...

Hisia haziwasaidii kitu..
 
Simba 1 : 5 yanga.
Hii kitu inavuruga sana ubongo
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha.....
 
Bado hamjasema....🤣🤣🤣
 
Mimi kwa mtazamo wangu msemaji wa simba namchukulia kama mtu asiejielewa tu. Simba wameweka msemaji asiejua kitu.
Vitu anavyoongeaga ni kama mwezi mteke.kazi inayomfaa hapo simba ni kufua, kuweka vuzuri jezi za wachezaji. Yaani sio mtu wa kumuruhusu kuongea kwenye watu wenye akili zao za kutafakali mambo. Anatia aibu.
 
Kwaiyo Ahmedy Ally ndiye msaliti au kuna watu wengine waliyojipenyeza Simba? be more specific.

Sema Siku ile baada ya kipigo aliyoyapost insta ni kama hakuumizwa, utani ulikuwa mwingi sana!!
Mshikaji kaajiriwa Simba Ila tangu B4 Ni shabiki wa uto kwa matendo na muonekano.
 
Duh!....
 
Ushamba wako wewe GENTAMYCINE ni kuamini unaujua ujasusi kuliko Yericko Nyerere (Ahahahahaha) na kwamba kila mtu Simba ni msaliti isipokuwa wewe. Huo ni ushamba ndugu sio ujanja. Inawezekana umekuja mjini umechelewa kama akina Juma Lokole! Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…