"Hawana hela wasije Uwanjani kwa Mkapa na kutia huruma kwa kusimama katika uzio kwani hawatoingia," Ahmed Ally msemaji wa Simba SC alipokuwa hewani mubashara EFM Radio asubuhi ya leo.
Nikiwa kama mwana Yanga SC ambaye sina hela ya kiingilio, ila huwa naenda uwanjani kutegea kuingia fungulia mbwa kwa kutia huruma kwa tangazo hili mujarab la Ahmed Ally nimeamua sitosogea tena pale kwa Mkapa na nitaiangalia kwetu kijijni mafia.