Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally: Mashabiki wa Yanga SC wasahau kuingia 'Fungulia Mbwa' Nov. 5, 2023

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
"Hawana hela wasije Uwanjani kwa Mkapa na kutia huruma kwa kusimama katika uzio kwani hawatoingia," Ahmed Ally msemaji wa Simba SC alipokuwa hewani mubashara EFM Radio asubuhi ya leo.

Nikiwa kama mwana Yanga SC ambaye sina hela ya kiingilio, ila huwa naenda uwanjani kutegea kuingia fungulia mbwa kwa kutia huruma kwa tangazo hili mujarab la Ahmed Ally nimeamua sitosogea tena pale kwa Mkapa na nitaiangalia kwetu kijijni mafia.
 
Huu mwandiko unafanana na man sele
20231030_105033.jpg
 
"Hawana hela wasije Uwanjani kwa Mkapa na kutia huruma kwa kusimama katika uzio kwani hawatoingia," Ahmed Ally msemaji wa Simba SC alipokuwa hewani mubashara EFM Radio asubuhi ya leo.

Nikiwa kama mwana Yanga SC ambaye sina hela ya kiingilio, ila huwa naenda uwanjani kutegea kuingia fungulia mbwa kwa kutia huruma kwa tangazo hili mujarab la Ahmed Ally nimeamua sitosogea tena pale kwa Mkapa na nitaiangalia kwetu kijijni mafia.
Hata Msemaji wa Mbagala market hayuko hivi.
 
"Hawana hela wasije Uwanjani kwa Mkapa na kutia huruma kwa kusimama katika uzio kwani hawatoingia," Ahmed Ally msemaji wa Simba SC alipokuwa hewani mubashara EFM Radio asubuhi ya leo.

Nikiwa kama mwana Yanga SC ambaye sina hela ya kiingilio, ila huwa naenda uwanjani kutegea kuingia fungulia mbwa kwa kutia huruma kwa tangazo hili mujarab la Ahmed Ally nimeamua sitosogea tena pale kwa Mkapa na nitaiangalia kwetu kijijni mafia.

Wewe utakuwa shabiki wa kwanza kutoka utopolo mwenye uelewa [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom