Wewe ukiwa kama Chawa wa Mwamedi unalipiwa ticket VIP huwezi kuona ukubwa wa buku 5.Uto jitahidi jamani,hata buku 5 tu
Kihasibu hii tuna iitaje?Uto jitahidi jamani,hata buku 5 tu
Ni kenyewe [emoji23][emoji23]Huu mwandiko unafanana na man sele View attachment 2801434
kinakokuwekaNi kenyewe [emoji23][emoji23]
Wote tulishuhudia hata mechi yenu na Ahly waliachia fungulia dogUto jitahidi jamani,hata buku 5 tu
Hata Msemaji wa Mbagala market hayuko hivi."Hawana hela wasije Uwanjani kwa Mkapa na kutia huruma kwa kusimama katika uzio kwani hawatoingia," Ahmed Ally msemaji wa Simba SC alipokuwa hewani mubashara EFM Radio asubuhi ya leo.
Nikiwa kama mwana Yanga SC ambaye sina hela ya kiingilio, ila huwa naenda uwanjani kutegea kuingia fungulia mbwa kwa kutia huruma kwa tangazo hili mujarab la Ahmed Ally nimeamua sitosogea tena pale kwa Mkapa na nitaiangalia kwetu kijijni mafia.
Muhasibu huwezi kosa hiyoUto jitahidi jamani,hata buku 5 tu
"Hawana hela wasije Uwanjani kwa Mkapa na kutia huruma kwa kusimama katika uzio kwani hawatoingia," Ahmed Ally msemaji wa Simba SC alipokuwa hewani mubashara EFM Radio asubuhi ya leo.