Watu 59900 kuweka reserve siti 100, mhh kimahesabu sio sawa, kumbuka mchezo huu ulikuwa chini ya caf so kila kitu kili ratibiwa, sie watu wa njaa tusingeweza sema space full na watu wakakosa tiket wakat kuna seats empty 6000, kuna regulation walizizingatia hasa uwanja huu hauna siti namba tabu ilianzia hapo, kama kila tiket ingekuwa na address ya kiti chako cha kwenda kukaa, geti gani upite, row gani uingie bas reserve ya siti 100 ingekuw sawa kabisa, caf hawakutaka makosa, jumanne simba vs alahly mashabiki 30,000 tu caf wamesema waingie uwanjani sabau za kiusalama, unaelewa hapo? Caf wana regulation zao za kiusalama kwa nchi na nchi, waarabu ukiwaingiza full then waanze vurugu zao utakuwa mtiti