Msemaji wa Simba SC ukirejea kutoka Misri tuambie tofauti ya Wewe kusema Tickets SOLD OUT huku N-Card wakisema waliokata Tiketi walikuwa 54,000 tu

Usinilazimishe Nikudharau sawa Mkuu? Hivi Mathematically 60,000 ni sawa na 54,000? Nachukia mno Watu wasiojua Kufikiri.
Kwa kweli kuna watu wanataka kudharaulika. Uwanja unaojaza watu 60000 unaweza kuingiza watu 65000 kutokana na Vibe wengi wakasimama na hutaona tatizo lolote. Sasa Mtu anaposema nafasi 6000 zimeachwa ili kupunguza msongamano kwenye uwanja ni dhahiri hajui maana ya msongamano.
 
Siti 100 au hata 1,000 zingetosha kuwa kama reserve ,idadi iliyobaki ni kubwa sana kupelekea hoja yako kukosa mashiko.
Hoja haijakosa mashiko, yaani Hakuna hoja kabisa.
 
Kulikuwa na wageni 6000? Au 6000/=?
 
Umetetea hoja yako walau
 
Msikaze vichwa sana hizo delegation za FA,FIFA,CAF Bado kuna mialiko au mnahisi hao walikaa wapi msilazishe vitu vingine viko wazi
Kwa hiyo unataka kutuambia hiyo delegation ilikuwa na watu elfu sita? Mbumbumbu nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…