Ameanza kuwa mswahili mkuu. Huwezi amini, kampelekea hadi zawadi ya Jezi.Kama ni kweli hii siyo poa,
Mbona jamaa namuona Kama siyo mswahili
Duuh[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Ameanza kuwa mswahili mkuu. Huwezi amini, kampelekea hadi zawadi ya Jezi.
Aya nenda ww kawe msemajeee🤣🤣🤣 maaaana nchiii kula mtu mchambuziiii na msemajeWapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu timu.
Kesho watu wakija na vitochi zaidi tena vyenye mwanga wenye madhara atafanyaje? Nilitegemea angekemea huo upuuzi lakini ndio kwanza ana uhamasisha.
Brother, wewe ni msemaji wa club kubwa, achana na vitu vya hovyo visivyo na tija.
NB: Niko tayari kwa povu.
Hopeless fellow.Aya nenda ww kawe msemajeee🤣🤣🤣 maaaana nchiii kula mtu mchambuziiii na msemaje
Nenda sasa ukaseme wewe ambaye sio hopeless fellow 🤣🤣🤣🤣Hopeless fellow.
hako katochi mwanga wake mita 5 haufiki halafu anakuja kiande kulia lia humu
Wapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu timu.