Soma uelewe kijana, acha ushabiki kipofu. Ulivyo na akili fupi unadhani kunyamazia ujinga ndio kuisaidia timu. Sisi tunaoshauri ukweli ndio tunaosaidia kwa kuwa tunaiepusha timu isiingie katika matatizo yasiyo ya lazima. Wewe nakufananisha na wale wahuni waliovamia mitandao ya Tottenham hot- spurs na kusambaza matusi yaliyopelekea Samatta kutemwa. Watu tumeishabikia timu wakati hujafikiriwa hata kuzaliwa, wewe umezaliwa juzi unakuja na ushabiki maandazi hapa. Unadhani simba haikuwepo kabla yako wewe mburumundu uliyejaa matusi? Ilikuwepo tena katika mikono salama ya mashabiki wastaarabu kama sisi, na ndio maana ipo hapo ilipo mpaka leo. Siku nyingine uwe na adabu katika kujibu hoja.