GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Comrade ( Kamarada ) wangu Clifford Ndimbo umekumbwa na tatizo gani Siku hizi Kaka? Ulianza Kutupotosha kuhusu Timu ya Kagera Sugar Kushuka Daraja na ikawa siyo kwamba ulikosea tukaona labda ilikuwa ni bahati mbaya tu na kukusamehe ila cha Kushangaza hata Wiki haijaisha jana umetoa tena ' Boko ' lingine kwa kusema Beki wa Taifa Stars Shomary Kapombe ni ' Mgonjwa ' wakati mwenye kakanusha kuwa hauwmi na ni mzima wa Afya tu.
Vipi mmeshaanza ' Kurogana ' hapo TFF Kaka kwani nasikia hiyo ' Position ' yako inatakiwa na wengi sana? au unataka Kuanza Kuniaminisha kile nilichokisikia kuwa hapo TFF ulipo kuna Majungu na Fitna mno kiasi kwamba kama ' hutakiwi ' na Watu fulani basi kuna ' Zengwe ' utafanyiwa au ' utategeshewa ' jambo ili ' uchafuke ' kisha Watu ( Wasiokutaka ) wapate sababu ya Kukutoa / Kukuondoa.
Wewe ni Mtani wangu upande mwingine ukiwa Mngoni hivyo Mimi nakuomba omba ' Likizo ' urudi Kwenu Ruvuma ' ukapikwe ' upya ili ukirejea tena hapo Watu wasikuchezee hovyo na Wajue kuwa ' Wangoni ' nanyi kwa ' Ndumba ' mpo vizuri kama Sisi Watani zenu Wamakuwa na Wayao kutoka Mtwara na Lindi.
Nakupenda kwakuwa Wewe pia ni Mwana Simba Sports Club mwenzangu tena yule ' Kindakindaki ' kabisa.
Nawasilisha.