comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
🚨 Transfer News Live:Arsene Bucuti To Fountain Gate🔜
Klabu ya Fountain Gate,iko kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha usajili wa msemaji wa Vital’O arsene Bucuti.
Singida wamempa ofa ya mkataba wa mika miwili wenye $2500 (tsh 6,721,237) kama Sign-on fee) mshahara wa $1500 (tsh 4,032,742) kwa mwezi,ada ya watoto,nyumba na usafiri kisha ofisi yake itakuwa Dar es salaam.
Mazungumzo yako kwenye hatua za mwisho na muda wowote dili linaweza kukamilika🔜
Fountain gate wanamtaka arsene bucuti kuwa msemaji wao mpya.
Siku hizi ukijua kuyapangilia maneno tuu watu wakafurahi ni mali kuliko hata degree, jamaa katoka kwao Burundi kaja Tanzania kama msemaji wa Vital'O lakini wabongo wamempenda, anakwenda kula mema ya nchi mda sio mrefu.