Westfield Fountain Gate is a super-regional shopping centre located in Narre Warren in the south-eastern suburbs of Melbourne, Australia. It is the second largest shopping centre in Australia by floor area. However, it is the largest shopping centre in Australia with all 3 discount department stores, Big W, Target and Kmart.
Mambo matano kwenye mchezo wa fountain gate vs simba leo
1.KAPILI MACHUPA
Alikuwa kizuizi kwa Simba licha ya kuruhusu goli moja alipaswa kuwa man of the match
2:ANCET OURA
Hakuwa kwenye kiwango kizuri alimfanya kasuku kuwa kwenye kiwango Bora
3:MGUNDA SHABAN
Jamaa alitawala dimba la Kati...
Kinara wa Ligi Kuu Simba Sc, leo yupo Ugenini dhidi ya Fountain Gate kwenye uwanja wa Tanzanite Kwaraa akiendela kusaka alama kwa ajili ya kujisimika zaidi Kilele.
Naini kuibuka na alama 3 leo?
Young Africans SC imeendeleza mwendo wake wa ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Fountain Gate, na hivyo kufikisha ushindi wa tano mfululizo kwenye NBC Premier League.
⚽ Peter Shalulile
⚽ Mudathir Yahya
Yanga imeendelea kuonyesha ubora na kasi katika ligi.
KIKOSI CHA FG...
Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Foutanegate katika mchezo wa ligi uliochezwa leo.
Mabao ya Yanga yamefungwa na Stephane Aziz Ki Pacome na Depu, yaliyowahakikishia pointi tatu muhimu.
Baada ya ushindi huo, Yanga imerejea kileleni...
Wachezaji wawili wa Klabu ya Simba, Yusuph Kagoma na Shomari Kapombe, wataikosa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate FC kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kesho Aprili 15, 2026 katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha, ambapo...
Dar es Salaam — Kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet imetangaza rasmi kuingia mkataba wa udhamini na klabu ya Fountain Gate FC wenye thamani ya Shilingi bilioni 1, hatua inayotarajiwa kuongeza nguvu katika maendeleo ya soka nchini Tanzania.
Ushirikiano huo umetangazwa jijini Dar es...
Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini
Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho
Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa kutusaidia.
Siwezi kuharibu taasisi yangu wakati najua ndio sehemu ambayo Napata ugali wangu na familia...
Anonymous (7ace)
Thread
fountaingate
hali mbaya
serikali
stahiki
watumishi
Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu...
Kuna wachambuzi na baadhi ya wajinga ikiwa ni pamoja na coach wake Matano aliyemtupia lawama baada ya kufungwa goal 2
Goal keeper Nobo amefanya saves 4 kubwa na kuinusuru timu yake ila analaumiwa Kwa makosa ambayo magoli kipa hufanya
Zile goli ni kupongeza tu washambuliaji wa Yanga Mzize na...
Hii ni aibu kwa marefarii wa nchi hii unaruhusu goli la offside dhidi ya fountain gate unaita Mpira kati,,najiuliza endapo fountain gate ndio wangefunga goli la namna Ile je refa angeita kati?
Lakini waswahili usema ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga yule yule aliyekuwa ameotea akatoa...
Kuelekea mchezo kati ya Fountain Gate Fc dhidi ya Simba Sc, Kocha mkuu wa klabu ya Fontain Gate Fc, Robert Matano ameweka wazi kuwa yeye kwao Kenya anaitwa Simba na anakwenda kukutana na mnyama mwenzie.
"Mimi ni mpenzi wa Simba toka miaka mingi toka nacheza wakati huo marafiki zangu wanacheza...
JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe.
2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa.
3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv
Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa.
Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha.
Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.