Wacha nimtetee kidogo goal keeper wa Fountain Gate John Nobo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kuna wachambuzi na baadhi ya wajinga ikiwa ni pamoja na coach wake Matano aliyemtupia lawama baada ya kufungwa goal 2

Goal keeper Nobo amefanya saves 4 kubwa na kuinusuru timu yake ila analaumiwa Kwa makosa ambayo magoli kipa hufanya

Zile goli ni kupongeza tu washambuliaji wa Yanga Mzize na Dube

Goli la kwanza mpira ulidunda,Goal keeper akapoza ili audake, Mzize akawa amefika na kumfunga
Na hili sio tukio geni kwenye football

Goal keepers wengi washafungwa sana hivi

Goli la pili. Golikipa alipokea mpira na akawa anarudisha mpira kwenye box, hivyo Dube aka press na kipa akafanya makosa akafungwa

Tukumbuke Camara alitoka mpira uliounatoka zake nje na kumpa Kijili aliyefunga goli Bora la msimu
Kiongozi wa Simba Magori alilaumu ila Camara alipata watetezi wengi

Tuheshimu football. Huu ni mchezo wa makosa bila kosa kufanyika goli halifungwi

Kumtuhumu mchezaji aliyefanya makosa kuwa ameuza ni ujinga kiwango cha lami
 
Haya saini hapa kuthibitisha kuwa wewe ndio umeandika huu ujinga
1745258451641.png
 
Goli la kwanza hata camala ashafungwa chama alipiga faulo camala akaupoza ukatua miguuni kwa mchezaji wa Yanga max zengeli akatumia nyavuni mbona hawasemi
 
Sijaangalia Mpira sina Uhuru sana wa kutoa Maoni.

Ila ninachojua Amefukuzwa Kambini.
Amevunjiwa Mkataba mapema Mno.
Amepewa Thank you.

Mengine yawe yanatupita
Tanzania ujinga ni mwingi
 
We mtetee ila kocha wa yanga mr ramovic alishasema yanga haishindi kwa kawaida na team zinazofungwa na yanga zinachekelea kufungwa na hazitoi ushindani mwalimu rama akaona mambo yasiwe mengi.
 
Sijaangalia Mpira sina Uhuru sana wa kutoa Maoni.

Ila ninachojua Amefukuzwa Kambini.
Amevunjiwa Mkataba mapema Mno.
Amepewa Thank you.
" Coach anasema amepeana magoli mawili"

Mengine yawe yanatupita
Halafu team ipo kwenye hatari ya kushuka daraja.
 
Goli la kwanza hata camala ashafungwa chama alipiga faulo camala akaupoza ukatua miguuni kwa mchezaji wa Yanga max zengeli akatumia nyavuni mbona hawasemi
Hilo tukio una uhakika Max alifunga?
 
We mtetee ila kocha wa yanga mr ramovic alishasema yanga haishindi kwa kawaida na team zinazofungwa na yanga zinachekelea kufungwa na hazitoi ushindani mwalimu rama akaona mambo yasiwe mengi.
simba alihongwa bila shaka,na alipofungwa alichekelea.
 
Huyo John Noble alifungwa goli 5 pale kmc sasa leo kafungwa 2 kelele kila kona kubalini tu kuwa yanga ndio timu bora sana ktk NBC ligi
 
Huyo Noble ingekuwa America Kusini angeanza maisha mapya ya kuishi kama digidigi mtaani.
 
Back
Top Bottom