FT: Fountain Gate 0-2 Yanga SC | Juni 18 2026 | Ligi Kuu NBC| Sheikh Amri Abeid

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Foutanegate katika mchezo wa ligi uliochezwa leo.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Stephane Aziz Ki Pacome na Depu, yaliyowahakikishia pointi tatu muhimu.

Baada ya ushindi huo, Yanga imerejea kileleni mwa msimamo wa ligi na kuendelea kuimarisha nafasi yake katika mbio za ubingwa.
============
Leo ligi kuu ya NBC inaendelea Mabingwa watetezi Yanga watakuwa uwanjani leo.

Ushindi wa leo utazidi kutengeneza nafasi yake ya Ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya Tano mfululizilo.

Naona Yanga atashinda zaidi ya goli 3 kwa sifuri

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🆚 Fountain Gate
🗓️ 18 June 2026
🏟️ Sheikh Amri Abeid
⏱️ 10:00 Jioni
 
Piga hao vyura
 
"Yanga Bingwa" - GSM
 
Back
Top Bottom