FT: Ligi Kuu Bara: Fountain Gate 0 - 1 Simba uwanja wa Tanzanite Kwaraa| Oktoba 29, 2026

FT: Ligi Kuu Bara: Fountain Gate 0 - 1 Simba uwanja wa Tanzanite Kwaraa| Oktoba 29, 2026

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kinara wa Ligi Kuu Simba Sc, leo yupo Ugenini dhidi ya Fountain Gate kwenye uwanja wa Tanzanite Kwaraa akiendela kusaka alama kwa ajili ya kujisimika zaidi Kilele.

Naini kuibuka na alama 3 leo?

Screenshot 2026-10-29 at 16-17-34 Instagram.png

Screenshot 2026-10-29 at 16-17-39 Instagram.png

​
 
Hili tawi la uto kipindi cha pili watoreke na mpira tu, tutapiga kama ngoma
 
Back
Top Bottom