FT: Ligi Kuu Bara: Fountain Gate 0 - 1 Simba uwanja wa Tanzanite Kwaraa| Oktoba 29, 2026

Yanga akishinda kigoli kimoja wachambuzi wanabweka timu ipo unga, Simba akishinda goli moja mpinzani yupo vizuri!
Kuna timu hizo bahasha wanazogawa kwa wa🐐 soon kimataifa zitawaumbua🤣🤣
 
Ila mikia mnajua kuota. Jana woote wale wenye kelele mkawa mnachungulia na kusepa tu.

Na hapo makundi ya Champions League hayajaanza. Lol
 
Yanga akishinda kigoli kimoja wachambuzi wanabweka timu ipo unga, Simba akishinda goli moja mpinzani yupo vizuri!
Kuna timu hizo bahasha wanazogawa kwa wa🐐 soon kimataifa zitawaumbua🤣🤣
Umeonaee. Kwa uzoefu wetu wote watakimbilia siasani kuiomboleza Oktoba 29. 😅
 
Back
Top Bottom