Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wachezaji wawili wa Klabu ya Simba, Yusuph Kagoma na Shomari Kapombe, wataikosa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate FC kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kesho Aprili 15, 2026 katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha, ambapo Fountain Gate FC watakuwa wenyeji wa Simba, mchezo utakaopigwa kuanzia saa 10 jioni.
📆April 15,2026
⚽️Fountain Gate FC 🆚 Simba SC
🏟️Sheikh Amri Abeid
⏰saa 10:00 Jioni