fountain gate

Westfield Fountain Gate is a super-regional shopping centre located in Narre Warren in the south-eastern suburbs of Melbourne, Australia. It is the second largest shopping centre in Australia by floor area. However, it is the largest shopping centre in Australia with all 3 discount department stores, Big W, Target and Kmart.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Asante Kipa wa Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya 'Kujivunja' ili usicheze Mechi ya leo dhidi ya Yanga SC

    Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia. Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda vyema. Kipaumbele pia ni Magoli kuwa mengi kumzidi mwenye Kiporo.
  2. Chachu Ombara

    SI KWELI Singida Fountain Gate FC yaituhumu TFF na Bodi ya Ligi mchezo dhidi ya Simba SC

    Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
  3. uran

    FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

    Match Day 📅 October 8, 2023. ⚽ NBC Premier League Singida Fountain Gate vs Simba Sc 🏟️ CCM Liti, Singida. ⏰ 4:00Pm. Haya, kumekucha vyema. Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara kupigwa, Tukishuhudia Yanga kutoa kipigo kwa Geita Gold cha 3-0 Huku Ihefu akizamishwa na KMC kwa 1 -...
  4. JanguKamaJangu

    Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

    Muda mfupi baada ya kuondoka Singida Fountain Gate FC, Kocha Ernest Middendorp ameweka wazi sababu ambayo imemuondoa kwenye klabu hiyo. Akizungumza katika mahojiano na Mtangazaji Robert Marawa ambayo yamerushwa na 947 Joburg, kocha huyo amesema: Baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
  5. GENTAMYCINE

    Hata Mimi kwa Dharau hii ningekuwa Kocha wa Singida Fountain Gate FC ningewaachia tu Litimu lao

    "Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC. Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
  6. S

    Singida Fountain Gate yaachana na Hans Van Der Pluijm

    TAARIFA KWA UMMA Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo. --- PRESS RELEASE RE; COACH HANS VAN DER PLUJM RESIGNATION On behalf of the Board of Directors, management, sponsors, stakeholders...
  7. Suley2019

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  8. Teko Modise

    Nampongeza mmiliki Singida Fountain Gate FC kwa basi jipya la timu

    Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao. Ikumbukwe basi lile la zamani lilikuwa linafanya wachezaji wanachoka sana wanaposafiri kwenye mechi mikoani. Sasa msimu...
  9. Sildenafil Citrate

    Klabu za Kitayosce na Fountain Gate zafungiwa kusajili wachezaji

    Klabu za Kitayosce iliyoko Ligi Kuu ya NBC, na Fountain Gate inayocheza Ligi ya Championship zimefungiwa kusajili wachezaji. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) baada ya Kocha Ahmed El Faramawy Youse Mostafa Soliman kushinda kesi za madai dhidi ya klabu...
  10. Last Seen

    Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

    Uongozi wa Singida Big Stars umefanya maamuzi ya kuiuza timu hiyo kwa wamiliki wa Fountain Gate ambapo sasa timu hiyo imebadilishwa jina na kuwa “Singida Fountain Gate Footbal Club.” Aliyekuwa Mkurugenzi wa Singida Big Stars ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Bodi ya Singida Fountain Gate, John...
  11. Ojuolegbha

    Waziri Balozi Dkt. Pindi Chana awapokea Fountain Gate mabingwa wa soka shule za sekondari Afrika

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameipokea rasmi timu ya wasichana ya mpira wa miguu ya Fountain Gate, mabingwa wa Afrika kwa Shule za Sekondari walioiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Kimataifa ya mpira wa miguu ya CAF yaliyomalizika hivi karibuni nchini...
Back
Top Bottom