DuuMsemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo.
Bucuti ameyasema hayo kwenye kipindi cha radio cha Sports Arena cha Wasafi FM.
Vital’O itawaalika Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Agosti 17, 2024 kwenye Dimba la Azam Complex, Dar es Salaam.
[emoji1607] @bintiiringo
#WasafiSports
NB: tunaomba makolo muwape hints kidogo hawa Vital'o [emoji3063][emoji3063]View attachment 3069573
mafala hao yanga wana ngekewaGame zote hapa hapa