Msemaji wa Yanga adaiwa kutapeli Tsh. Milioni 83 za pafyumu

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Nimeleta huu uzi kama tetesi za zilipotokea pia, maana mtu mwenyewe anayehusika hapa hachelewi kulialia na ku play victim

Kutoka ukurasa wa jamaa anyejiita Chaz lee huko facebook

Hii ishu mbona ya kitambo, toka yupo kwetu msimbazi.
Kesi si kashinda juzi akiwa kwa maboss wapya wanaompa kiburi? Maana sasa anamtukana mo dewji,alimpa makavu january makamba kule twitter akamuambia mama atamtumbua,dah jamaa ni untouchable
 
Kesi si kashinda juzi akiwa kwa maboss wapya wanaompa kiburi? Maana sasa anamtukana mo dewji,alimpa makavu january makamba kule twitter akamuambia mama atamtumbua,dah jamaa ni untouchable
Manara ni mtu fulani chenga kichwani, sijui kwanini watu wanahangaika nae, akiguswa kidogo analilia ulemavu wake
 
Moderator kwa heshima yenu. Futeni huu uzi. Hii ni jamii forums, na siyo facebook kama anavyotaka kutuaminisha huyu mtoa mada.
Wacha weeee haiondoi ukweli kwamba kamtapeli shehe wa oman muulize pafyumu zillishia wapi? Hata habari za mzee tozi zikiwekwa nazo mnalia zifutwe kazi kutukana watu tu mkiambiwa ukweli ni mwendo wa kutafuta huruma
 
Hivi hii ya Mzee Tozi ni kweli alimpelekea moto au wanamchafua tu cheupe wa watu?
 
Roho zenu mbaya tu, kati ya matapeli wote mmemuona huyo tu
 
Wacha weeee haiondoi ukweli kwamba kamtapeli shehe wa oman muulize pafyumu zillishia wapi? Hata habari za mzee tozi zikiwekwa nazo mnalia zifutwe kazi kutukana watu tu mkiambiwa ukweli ni mwendo wa kutafuta huruma
Hii kesi imetolewa hukumu ya rufaa Mahakama kuu Leo baada ya hukumu ya Mahakama ya wilaya kukatiwa rufaa na matokeo kubaki kama yalivyoamriwa na Mahakama ya wilaya. Unapoleta kiumbeya umbeya Hakuna anayekuelewa. Mbona hukuileta wakati kesi inaanza mwaka 2019?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…