Msemaji wa Yanga H. Bumbuli amporomoshea matusi Msemaji wa Simba H.Manara!


Haji sidhani kama anatafuta huruma!
Kama Bumbuli asingetaja ulemavu wake naamini wangemalizana pengine kimya kimya au asingeumia sana!
Bumbuli kuutaja kumdhalilisha kwa kuutaja ualbino wake haimuumizi haji peke yake, hata albino wengine pia wanaumia!
Wapo albino ambao pia ni mashabiki wa yanga, watajisikiaje kwa hayo maneno kutoka? Yupo mchambuzi mmoja wa soka ambaye pia ni mtangazaji,anaitwa Zungu sasa haya maneno aliyotoa Bumbuli zungu atayachukuliaje pamoja na albino wengine!?
...leo ikiwa pia ni siku ya albinism, unyanyapaa au udhalilishaji kwao haufai!
 
Aombe radhi Manara hakupenda awe albino
Kwani kuwa albino ni tusi kuitwa zeruzeru ni tusi hivi ukienda mahakamani ukasema amenitukana mimi ni albino na wewe ni albino mtu anafungwa


Mwambieni huyo Haji zeruzeru/Albino ache kutamka maneno makali ili tusimuite albino
 
Shida mmoja hapo anapangia cha kuongea watu. Yeye akitoa kejeli yoyote anatania bila kujali utu na jinsi gani anamdhalilisha mwenzake. Yeye anaongea apendavyo akijibiwa lolote tu anajihisi anaonewa mno sio haki anavyofanya
 
Hamtakagi Haji wenu akuguswe na kusemwa kabisa....
 
Kwani kuwa albino ni tusi kuitwa zeruzeru ni tusi hivi ukienda mahakamani ukasema amenitukana mm ni albino na wewe ni albino mtu anafungwa


Mwambieni huyo haji zeruzeru/Albino aache kutamka maneno makali ili tusimuite albino

Wewe mwenyewe ni mnafiki tu, mbona ccym inavyotumia maneno makali ya kebehi na kutusi wapinzani huwaambii waache!?
...yule mwacsm aliyesema wapinzani ni sawa na corona ulimuonya aache!? Ondoa unafiki hapa!!
 
Ndio hii hii miwatu iliyokazania BLM hapa bila aibu inaonyesha yenyewe ni mibaguzi kuliko hata waliomuua Floyd

Miafrika tunashida sehemu anye kuku ila akinya bata kahalisha, tunabagua watu wenyewe albinism halafu inaonekana kawaida ila tumevalia njuga mambo ya US huko.

Ndio Haji ana kejeli lakini sijawahi kuona kamtusi mtu huyo Bumbuli si muungwana na anapaswa kupuuzwa ikiwezekana ale adhabu ili awe mfano
 

Na wewe, matusi yako wapi pale? Kwani Manara sio albino?
 
Haji Manara ana ujinga mwingi sana kichwani, lakini ana wafuasi kindakindaki
 
ni kweli usemacho, lakini nae hatakiwi kutengeneza mazingira ya kutokea kwa hilo. ni msema hovyo mno, sijasahau alipokuwa na mgogoro na shaffih dauda......alikuwa anaongea maneno mengi mno mpaka inakukera mtu hata kama huusiki
 
Manara mwenyewe ovyo tuu, haiwezekan watu wanapata ajali yeye analeta utani wa kipumbavu na maisha ya watu..Siungi mkono hayo matusi, ila hata kama ni utani wa mpira ajue mipaka yake, kama hwez kuwa na mipaka litakalomtokea aridhike, asitumie kigezo cha tatzo lake kufanya upuuzi na kutaka kuwafunga watu midomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matusi sio sehemu ya michezo, jamaa ajitathmini na awe na nidhamu.
 
Fala, mjinga mjuaji zeruzeru sio matusi ....
lugha iliyotumika ni ya kuudhi lkn sio matusi
 
Ila msomi wa madrasa akiporomosha matusi ni sawa, wengine wachukuliwe hatua
Hajazingua wala nini huyu mbwa he deserves haya Mambo kazidi upumbavu, Ustaadhi Salumu tambua Bumbuli is not a saint or an Angel manara ni mjinga sana hata kama Simba ni watani zetu lkn jamaa kazidi uchoko
 
huyo Manara mwenyewe pamoja na hali yake hana self-empathy (hajihurumii mwenyewe).

wacha wamnyweshe dawa aliyoitengeneza mwenyewe shubaaaamit!
Mm huyu jamaa hata atafute public sympathy hata kwa kugalagala siwezi kumuonea huruma,anadharau,ana nyodo mjivuni na anakela sana huku akijificha kwenye mwamvuli wa hali aliyonayo kwasababu anajua watu hawatamgusa
Kuwabeza wanayanga waliopata ajali ni upumbavu pia mwache aendelee kuvuna anachokipanda pimbi sana huyu jamaa
 
Na wewe ni mpumbavu, matusi yako wapi pale? Kwani Manara sio albino?

Mbona unepanic mkuu?
...sasa wewe uerevu wako upo wapi ndio uniite mpumbavu!? Sasa ujue pengine wewe unaweza kuwa mpumbavu cubic! Hiyo clip umeisikikiza vyema? Je umesikia neno albino peke yake, wakati mwingine ni vyema kama huna hoja ya msingi au comment ya maana ukasoma tu, na kama unakereka basi ukamezea na kupita kimya kimya!!
 
Fala,mjinga mjuaji zeruzeru sio matusi ....
lugha iliyotumika ni ya kuudhi lkn sio matusi

Ni hayo tu ndio yametamkwa mkuu? Ungeandika yote na siyo hivyo vipande!
 
Angesamehe na Jerry Muro..ndio ningeona utu wake.. ... ..

Huyo kamsamehe kwa lake..Salum Bumbuli...

Haji anaficha uso buno nyuma lipo wazi ... ... udhaifu wake ndio anafanya ngao! ..ana tabia mbaya lakini ana bahati...
 
Weka hayo matusi hapa kijana!
...halafu utambue kuwa ukitukanwa nawewe unajusification ya kurudisha matusi!!
Weka clip/ushahidi unaoonyesha Haji akimtusi mtu kuwa ni ms*** ama tusi lolote, au akimdhalilsha mtu utu wake n.k!
akikujib unitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…