Msemaji wa Yanga H. Bumbuli amporomoshea matusi Msemaji wa Simba H.Manara!

Anachotaka Haji, ndo hicho kushtaki kwa umma, ili yy aonekane msafi, alipopolewa na Muro Jerry alipoambiwa elimu yake kubwa ni ya Madrasa alichongea kwa waislamu ili wamshukie Muro Akapuuzwa na kuonekana yy ndo hakipi thamani kisomo chake.

Haji ni mchonganishi, anachotaka kukifanya siku zote ni kuhakikisha Wanayanga wawaone wasemaji wao ni dhaifu , akiwa anatoa chokochoko kila wakati hata awe anazungumzia timu yake kuogelea ataitaja Yanga kwa dharau.

Angalia post yake hiyo ya Instagram baada ya kupewa dose ya kiwango chake , ametulia na kuelezea tukio husika na kuitaja Yanga kwa thamani yake.

Utani upo, lkn usipitilize wenzako wamepata ajali ambayo kwao imewastua, wanaona wameepuka madhara makubwa kama siyo kifo, halafu ww unaibuka na kejeli , sasa unategemea nn?

Kumbuka kawahi kuwaita wanawake vibonge wapenzi wa Yanga waliotumika kwenye picha za matangazo akitumia neno MITULINGA.

Yuko kwenye nyumba ya vioo, asitupie wenzake Mawe.

Kumbuka alivyojinasibu kuwa anafahamu mengi ya binafsi ya Jerry Muro na amemuonya akithubutu kumsema tena atamlipua, hayo ni mambo binafsi anayaweka kuwa kinga yake kwann?

Akubali kupokea ngumi za uso kama yy anavyotupa ngumi za uso.
 
Kwani Haji siyo zeluzelu? Kwani tukisema kocha wa yanga na simba ni wazungu tumewakashifu? Hata mkimtetea vipi atabaki kuwa zeluzelu milele
 
Huyo Haji kaanza lini kuwa mstaarabu?
 
Alivyopewa dawa yake na Jerry akaanza kumchongea kwa Waislam na Rais

Kilaza anawasemea kwenye timu yenu basi mnamwitikia kwa makofi na mapambio

Ndio maana Kigogo2014 alisema Haji anashughulikiwa na watu wa jinsia yake, ndio maana huwa anapokaa popote huwa anakalia tako moja
Kilichobaki ni kutukana tu...
 
Haji as ingekuwa mlemavu wavngozi angekuwa kwenye wakati mgumu sana kulingana na tabia alizo nazo

Ana sehemu nzuri sana ya kuficha mapungufu yake

Kuna watu wanadhani kwamba Haji ni disadvantaged, lakini kiukweli advantaged
Haji ni mchokozi,ana maneno ya kuudhi sana. Huwa anatukana sana,ila anaachwa tu. Hapo ni haji alirekodi sehemu ya mazungumzo binafsi,hakuna sehemu ya mwanzo ya mazungumzo yao.
 
Bumbuli hajiudhulu ng'o na tupo nyuma yake

Haji ni kilaza na wanaomsapoti ni vilaza
Watu wanajadili kiushabiki wamesahau kocha wa timu ya taifa uingereza alijiuzulu kutokana na kauli yake kuwa walemavu ni watu waliolaaniwa na Mungu anapozungumzia Haji kama Albino anahusisha kundi kubwa ambalo halihusiki kwenye malumbano yao
 
Upo sahihi mkuu

Anatumia ualibino wake kama ngao, shwaini kabisa
Angesamehe na Jerry Muro..ndio ningeona utu wake.. ... ..

Huyo kamsamehe kwa lake..Salum Bumbuli...

Haji anaficha uso buno nyuma lipo wazi ... ... udhaifu wake ndio anafanya ngao! ..ana tabia mbaya lakini ana bahati...
 
Huyo manara akibanwa kwenye kona huwa anatafuta pakutokea,

Last time alitumia hoja mufilisi kuwa uislam umedhalilishwa tu kwasababu aliambiwa yeye hajui chochote ni mwalimu wa madrasa,
leo kaitwa zeruzeru imekua ni vita dhidi ya Albinisim.

Mnalidekeza hilo dubwana hadi linajiona lenyewe ndiyo lenye hatimiliki ya kuwakashifu wapinzani wake.
 
Ila vyura Haji anawahenyesha sana hadi mmekua hamjielewi
So hata kama kaleta masihara kwenye ajali kumtukana ndiyo suluhisho?
 
Ila vyura Haji anawahenyesha sana hadi mmekua hamjielewi
So hata kama kaleta masihara kwenye ajali kumtukana ndiyo suluhisho?
Dose kamili imempa akili ndo maana kaandika kwa weledi instagram
 
Washabiki wa UTOPOLONI hawajawahi kuwa na akili kabisa ni mapunguwani tu,mi nikiwa nazungumza na mtu huwaga namtambua mapema kama akiwa shabiki wa deportivo la utopolo maana hapo ni utopolo utatawala tu....kenge ni kenge tu
 
Washabiki wa UTOPOLONI hawajawahi kuwa na akili kabisa ni mapunguwani tu,mi nikiwa nazungumza na mtu huwaga namtambua mapema kama akiwa shabiki wa deportivo la utopolo maana hapo ni utopolo utatawala tu....kenge ni kenge tu
Asili yetu ni makuli wa bandarini, Kuala Lumpa Malaysia, Taliano, Gongowazi, Kandambili, Utopolo, bakuli .

Leteni na mengine mwisho ni klabu pekee Tanzania unaanza na DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS na rythm inatulia.
 
Asili ya simba a.k.a mikia ilipoanzishwa mwaka 1936 ilikuwa inaitwa Queens Fc

Kwako mwalimu Kashasha
Washabiki wa UTOPOLONI hawajawahi kuwa na akili kabisa ni mapunguwani tu,mi nikiwa nazungumza na mtu huwaga namtambua mapema kama akiwa shabiki wa deportivo la utopolo maana hapo ni utopolo utatawala tu....kenge ni kenge tu
 
Haji inabidi abadilike maana mambo ya utani wa jadi yaliisha wakati wa mpira wa ridhaa..watu wanatengeneza brand kwa mabilioni alafu yeye anaenda wasafi radio baada ya kuongelea timu yake masaa matatu anaongelea Yanga..haikubaliki na atatukanwa sana ...hivi msemaji wa TIGO akiongelea vibaya Vodacom redioni kinachofuata ni nini?Haji angekuwa mshabiki sawa ila ni kiongozi
 
Leteni ushahidi wa Haji akitukana!
Au utani wa jadi umewaingia sana hadi hamkielewi?
Haji ni mchokozi,ana maneno ya kuudhi sana. Huwa anatukana sana,ila anaachwa tu. Hapo ni haji alirekodi sehemu ya mazungumzo binafsi, hakuna sehemu ya mwanzo ya mazungumzo yao.
 
Hebu tuwekeni ushabiki wa Simba na Yanga pembeni. Kiukweli Bumbuli amekosea sana namna alivyomtukana Manara na hasa lile tusi alilotukana watu wenye ulemavu wa ngozi. Kuacha ulemavu ambao mtu anazaliwa nao, mtu yoyote anayejiona mzima sasa hivi anaweza kupata ulemavu wakati wowote na ndio maana kuna msemo usemao sisi wote ni walemavu watarajiwa. Kwa hiyo Kwa hali yoyote ile yale matusi ya Bumbuli hayakubaliki hata kidogo katika jamii iliyostaarabika.

Lakini tumejiuliza huyu Manara aliyetukanwa na Bumbuli ni msafi kiasi gani? Tusi lile lile Manara alilotukanwa na Bumbuli (sipendi kulitaja) ndilo Manara amemtukana Jerry Muro juzi juzi tu hapa, amemtukana sana Antoni Nugaz na ndilo alilomtukana sana Tshishimbi mwaka mmoja au miwili hivi iliyopita kwenye page yake ya Instagram. Vipi yeye kurudishiwa kidogo na Bumbuli tu anaanza kutafuta huruma kwenye vyombo vya habari na kusahau kuwa hata Jerry Muro, Antonio Nugaz na Tshishimbi nao ni binadamu na wanahisia na maumivu kama yeye Manara anayoyapata sasa. Tusiwatendee wenzetu kile ambacho sisi wenyewe tukitendewa tunashindwa kuvumilia na pia tukumbuke kipimo tunachowapimia wenzetu ndicho hicho hicho tutapimiwa na sisi kama sio leo basi tutapimiwa kesho.

Kwenu Bumbuli na Manara mmebeba dhamana kubwa sana. Tambueni kuwa Simba na Yanga ni taasisi kubwa sana Tanzania zinafuatiliwa na mamilioni ya watanzania kuanzia watoto, vijana,wazee, maaskofu, mashehe, mapadri, makuli, mama ntilie, wagema mnazi, wabeba zege, wakulima n.k. bila kujali umri, jinsia, itikadi za siasa au dini kwa hiyo chochote mnachokifanya au kukiongea kwenye vyombo vya habari tumieni weledi na busara zaidi badala ya kutumia mihemuko.

Michezo ni furaha. Tubishane kuhusu Simba na Yanga bila kuwatukana au kuwakwaza wenzetu. Mwisho wa siku nyinyi Manara na Bumbuli ni binadamu na ni watanzania nje ya Simba na Yanga mnazozifanyia kazi na kuzishabikia. Hamtadumu milele mkiwa wasemaji wa Simba na Yanga na ipo siku itafika mtakuwa nje ya hizo timu mkiwa aidha mmetimuliwa au mmeacha kazi wenyewe. Je, mmeshajiuliza itakuwaje baada ya kuondoka kwenye hivyo vilabu na mtakuwa mmeacha "legacy" gani?
 
Manara mpumbavu tu kama wapumbavu wengine ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…