lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Anachotaka Haji, ndo hicho kushtaki kwa umma, ili yy aonekane msafi, alipopolewa na Muro Jerry alipoambiwa elimu yake kubwa ni ya Madrasa alichongea kwa waislamu ili wamshukie Muro Akapuuzwa na kuonekana yy ndo hakipi thamani kisomo chake.
Haji ni mchonganishi, anachotaka kukifanya siku zote ni kuhakikisha Wanayanga wawaone wasemaji wao ni dhaifu , akiwa anatoa chokochoko kila wakati hata awe anazungumzia timu yake kuogelea ataitaja Yanga kwa dharau.
Angalia post yake hiyo ya Instagram baada ya kupewa dose ya kiwango chake , ametulia na kuelezea tukio husika na kuitaja Yanga kwa thamani yake.
Utani upo, lkn usipitilize wenzako wamepata ajali ambayo kwao imewastua, wanaona wameepuka madhara makubwa kama siyo kifo, halafu ww unaibuka na kejeli , sasa unategemea nn?
Kumbuka kawahi kuwaita wanawake vibonge wapenzi wa Yanga waliotumika kwenye picha za matangazo akitumia neno MITULINGA.
Yuko kwenye nyumba ya vioo, asitupie wenzake Mawe.
Kumbuka alivyojinasibu kuwa anafahamu mengi ya binafsi ya Jerry Muro na amemuonya akithubutu kumsema tena atamlipua, hayo ni mambo binafsi anayaweka kuwa kinga yake kwann?
Akubali kupokea ngumi za uso kama yy anavyotupa ngumi za uso.